Ushauri Wakuu Fridge kwa bajeti ya Around 400K

Andres

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
505
Reaction score
829
Wakuu nataka ninunue Jokofu, la matumizi ya kiseja lisizidi bajeti ya laki 4. Brand ipi ni nzuri zaidi, na wapi naeza pata kwa dar es salaam ?
 
yaani usitegemee miujiza, utapata kulingana na ya iyo bei, kama ni mpya basi utakutana na izi za akina boss, na michina mingine,

kama ni brand ya ukweli basi ni used ( 3rd hand maybe, ili upambane vizuri na tanesiko)

jichange ufike walau jiwe 7.5 , fika Megh Electronics pale Posta, uchukue brand ya maana kama LG ambayo unaibikiri mwenyewe
 
Mkuu si mchezo, thanks kwa ushauri
 
Ya uhakika ila yametumika huko nje, utapata fridge kubwa kwenye hali nzuri nilinunua deep freezer nikaweka kwenye mghahawa halijawahi kuniangusha
Ni kweli. Used ukipata mashine ni mashine kweli. Nilinunua zanzibar BEKO ya lita 120, huu ni mwaka wa pili umeisha linapiga kazi balaa. Halijui fundi wala gesi. Alaf pia ni economy only 90watts
 
yaani usitegemee miujiza, utapata kulingana na ya iyo bei, kama ni mpya basi utakutana na izi za akina boss, na michina mingine,

kama ni brand ya ukweli basi ni used ( 3rd hand maybe, ili upambane vizuri na tanesiko)

jichange ufike walau jiwe 7.5 , fika Megh Electronics pale Posta, uchukue brand ya maana kama LG ambayo unaibikiri mwenyewe
Ninayo hiyo used ya milango miwili,kuna kipindi nawachukia tanesco kumbe ttz ni langu mwenyewe kununua used [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sasa mashine la milango miwili unafanya mchezo, kama vipi mda unapoenda kulala unalizima wa kuliwasha asubuhi , ulikosea ungeangalia energy consumption yake kabla hujanuna
 
Mfano fridge la kibiashara hasa ya kuuza barafu linahitajika lenye wats ngapi ili ndugu yangu asiingie mkenge
 
Ya uhakika ila yametumika huko nje, utapata fridge kubwa kwenye hali nzuri nilinunua deep freezer nikaweka kwenye mghahawa halijawahi kuniangusha
Angalia sana matumizi ya umeme kwa fridge used matoleo ya zamani. Fridge za kisasa zimetengenezwa kwa teknolojia isiyo kula umeme mwingi. Ila kwa kuwa ww ni bachelor katafute vile vi-fridge vidogo original known brands
 
Ni kweli. Used ukipata mashine ni mashine kweli. Nilinunua zanzibar BEKO ya lita 120, huu ni mwaka wa pili umeisha linapiga kazi balaa. Halijui fundi wala gesi. Alaf pia ni economy only 90watts
Hapo kwenye watts ndio jamaa anatakiwa azingatie sana wakati ananunua fridge used
 
Hapo funza inakuwaje ? Range ya Watts kwa matumizi ya kibachelor atmost labda watt ngapi ?

Ngoja wataalam waje mie sijasomea hayo mambo ila google utaona range ya watts za fridge ili ujue utachukua watts ngapi
 
Nimejaribu kucheki kupatana naona kuna mafriji ya laki nne halafu brand ya boss.. Wakuu kuna mafriji feki kwani ?
 
Back
Top Bottom