Msaada tafadhali: Facebook account na 2-Factor Authentication

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Oct 8, 2018
366
140
Nilifungua account ya Facebook nikaweka mfumo wa two security nikawa natumia kama kawaida sasa tatizo ni kwamba nikitaka Ku login ili nitumie code code haitumwi NA Facebook nilisha lipoti tatizo ilo kupitia account ya rafiki yangu lakin code bado haifiki Nina mwezi SASA tatizo bado hadi nimeikatia tamaa account yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom