Hivi karibuni nimekuwa na kazi nyingi sana mtandaoni, Lakini kazi nyingi zimekuwa zikikatizwa na gharama Za mtandao(Mara nyingine imenilazimu nitumie hata 5,000 kwa siku). Ningependa kujua mtandao...
Habari wakuu! Nimepata tatzo kidogo pc yangu imegoma ghafla kuwaka! Nik-press switch on button zinawaka taa za kuonyesha inawaka but then after two seconds inazima. Nini tatzo? Naomba msaada wenu...
wakuu naomba kwa anayemfahamu dealer yeyote wa viyoyozi vya Toshiba kwa hapa Dar es Salaam anisaidie maelekezo namna ya kumpata au namba ya simu kama atakuwa nayo.
Data za akaunti milioni 210 za watumiaji wa mtandao wa Facebook zavuja baada ya kudukiliwa na taarifa za akaunti zao zinapatikana kwa urahisi mtandaoni.
Jumla ya data zilizowekwa wazi zinaonesha...
Simu Samsung a30 nikiweka line yoyote nikajaribu kupiga inaniletea msg not registered on network lakini line hiyohiyo inasoma vizuri nikiweka kwenye simu nyingine. Msaada kwa anayejua tatizo ni nini
Jukwaa Tuwasaidie watu,Watu hawa wanatakiwa kusaidiwa ni wa Aina Mbili
1.Moja Yule Anae Amini Huduma Ipo na kulipia kisha Akaibiwa ikiwa uhalisia Hicho kitu hakiwezakani
2.Na yule Asie Amini...
Hatimaye Huawei waanza kuitumia Os yao kwenye Smart Tv zao zilizozinduliwa rasmi huko Berlin Germany.
Kuna uwezekano pia wa simu zao tarajiwa ambazo ni flagship kama Mate 30,Mate X na zingine...
Jana nilienda crdb bank ili waniunganishe card yangu kwenye online purchase, sasa leo wamenitumia message inasema. Please register for VBV/ SECURE CODE in crdbbank.com, wamenipa access code, sasa...
practice makes perfect, naomba kujua sehem kuna codecamp na meeting kuhusu software engineering kwa dar, pia kama nitapata patner wa kubadilishana mawazo itakua vizuri zaidi au hata internship
karibu....
the freedom is here karibu tena katika uwanja wa cybersecurity && hacking na n.k
watu wengi sana wameniuliza private hii kitu na nikaona niweke wazi ukweli kuhusu hackers vs windows...
Muda sio mrefu,bingwa wa Android version updates na security patch level updates duniani, Nokia,anaachia simu zake mpya,kama Nokia 5.2,6.2,7.2,nokia 2720 flik, Nokia 800 na zingine ambazo bado...
Nina flash hapa imezingua kusoma mass storage sasa nilikuwa nahitaji tools kwa ajili ya hii flash niweze repair lakini sijafanikiwa kuipata kwa wazoefu naombeni msaada
Jamani mimi nina laptop yangu kuna tatizo limejitokeza katika laptop hilo tatizo ni juzi kati hapa nilikua nacheza gemu ikaanza kwenda slow na gemu ilikuwa inacheza vizuri tu NAOMBENI MSAADA JUU...
Wadau wa I.T
Ningependa kujua kama kozi inayo tolewa RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY == COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING inahusika na ENGINEERING REGISTRATION BOARD
Nini maana ya scatter file
Scatter file lina umuhimu gani
Wapi tunatakiwa kutumia scatter file
Namna ya ku backup file kutoka simu nyingine.
Wataalamu muje munisaidie.
mtwara tech, Davinci...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.