Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni msaada wenu wakuu nimepoteza simu yangu ya batani naipenda sana. Naomba nijue kama naweza ipata au mwenye utaalam huu naomba tuwasiliane PM ili anisaidie msingi niipate.. IMEI ninazo na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtaalam wa kuedit picha anahitajika Whatsap no 0658495324
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Tumeambiwa wanakuja na vitu vikali na wamezindua OS mpya na kuyumbisha soko la wakina Android. Matokeo yake sasa wanashinda mahakamani kupinga ban. Nadhani wale wabishi msiotaka kuelewa ndio...
0 Reactions
4 Replies
833 Views
Wana Youutubers, wazee wa Google wameleta vigezo vipya ambavyo vitaanza kazi tarehe moja mwezi wa kwanza. Huu uzi tuufanye kama wa majadiliano ili rungu hilo litupitie mbali maana milions of...
5 Reactions
74 Replies
8K Views
How to increase shutdown speeds in Windows 10 Some vizuri kabla hujafanya kitu chochote kile kwenye hiyo WINDOWS REGISTER kwani unaweza kuharibu hiyo WINDOWS REGISTER yako na computer isiweze...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam Wakuu. Naombeni muongozo kati ya hizo simu mbili hapo juu ipi inaweza kumfaa shemeji yenu Wakuu. Nilifikiria na Samsung A10 ila shemeji yenu hataki Samsung that's why nikasema niombe...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wana JF, Nimekutana na changamoto katika kufanya designing ya gazeti for Printing. Software ambayo nayotumia katika designing ya gazeti hili ni Adobe InDesign. Najifunza designing ya...
1 Reactions
7 Replies
44K Views
Ni matumaini yangu mko vizuri Sana wataalamu. Subwoofer yangu ghafla haitoi bezi Kama ilivyokuwa mwanzo. Speaker ndogo peke yake zinaimba. Bahati mbaya Haina sehemu ya kuongeza bezi Kama...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Hello JF, Natumaini wote mko powa... Ningependa itengenezwe website/App.. Kwa watu wenye matatizo ya akili.. Wao na wanaowatunza..kushare their experieces..na kupata access to treatment...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Hello guys, Ninahitaji kujinoa zaidi mbinu za kushinda kwenye drafti, nahitaji kufanyia mazoezi mbinu za kwenye vitabu kwa kutumia PC au simu. Mfano kuna mbinu inaonyesha jinsi ya kushinda iwapo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu Kuna app yoyote ya kuangalia tv online..tupia link hapa
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Wadau naomba msaada wa kujua, Je tupo ndani au nje ya dunia? Kwa nini satellite, dunia na mwezi havianguki? Je dunia ina umbo kama la yai au mpira? reyzzap, Denvers, Mwifwa, Baba Swalehe, na...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari Wanajamvi, Kwa Wale Ambao Ni Wapenzi Wa Movies/TV Series au hata Wale Ambao Huwekeza Muda Wao Wa Kupumzika Kwenye Movies Basi Leo Naomba Tushirikishane Jambo Jema. Hii Ni Modded App Ya...
6 Reactions
24 Replies
6K Views
Naona ni bora nijitoe kwenye chama la wana, sijapenda kitendo nilichokikuta katika simu mpya ya Tecno. Anayejua bei ya kitanzania ya S8+ mpya na sifa zake kwa aliyezitumia anisaidie.
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari JF! Natumai mu wazima wa afya. Leo nataka kugusia kidogo jinsi ya kuandaa folder kwenye computer yako bila ya kuonekana jina la hilo folder. Huu ni kuendelezo wa Tech Tricks tu katika...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
Shirika la ujasusi na uchunguzi wa ndani la Marekani la FBI, limewataka watu kuwa makini na Smart TV majumbani kwao. Wadai wadukuzi wanaweza kudukua TV janja kwa urahisi. Shirika la FBI limeweka...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau wote kwa pamoja ebu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote. UPDATE... ................................ Kama una dish...
23 Reactions
2K Replies
493K Views
Wakuu, salaam. Nimefuta SMS muhimu sana accidentally kwenye simu ndogo ya kawaida ambayo sio Android. Kwa technology, kuna uwezekano wa kurejesha deleted SMS kwenye simu non Android? Please help!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba kujua coding, mimi ni beginner nianzie kitu gani. Nataka niweze kuingia kwenye website niweze kuedit code na kutengeneza scripts. Kwa sasa naingia natumia ujanja ujanja kuedit...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nina desktop yangu aina ya Dell. Ila tatizo lake silijui maana nikiwasha inawaka ila haitoi picha kwenye monitor.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom