Ipi simu bora kati ya Tecno Spark 4 na Infinix Hot 8

Ipi simu bora kati ya Tecno Spark 4 na Infinix Hot 8

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,873
Reaction score
3,096
Salaam Wakuu.

Naombeni muongozo kati ya hizo simu mbili hapo juu ipi inaweza kumfaa shemeji yenu Wakuu.

Nilifikiria na Samsung A10 ila shemeji yenu hataki Samsung that's why nikasema niombe muongozo wa hizo simu mbili hapo juu.

Msaada wenu tafadhali.

Thanks.
 
Hizo zote ni simu mmoja kama huamini tafuta simu zote hizo kaa nazo anza kukagua utaniambia... Zinafanana kila kitu
 
Ukishapata ushauri nitakuuzia bila shida.

Infinix hot 8 ni 274,999

Infinix hot 8 lite 249,999

Tecno Spark 4 Air 260,000 (Ina double battery, total of 6000mAh)

#Simu zote ni original
#Tunakupa Warranty ya mwaka mzima
#Free delivery (Dar)
#Free Cover
#Free protector
#Malipo: Cash on delivery

Nb: Tunatoa offer ya speaker ndogo kwa wateja wa tecno spark 4 air

Karibu
Wizi huo Spark 4 Air Nimiwahi Inunua Sijamaliza hata Mwezi ila bei 215K kwa Mwanza.
 
Back
Top Bottom