Nimepoteza simu ya batani wakuu, Nokia 3310 Model 1030

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,625
2,443
Naombeni msaada wenu wakuu nimepoteza simu yangu ya batani naipenda sana. Naomba nijue kama naweza ipata au mwenye utaalam huu naomba tuwasiliane PM ili anisaidie msingi niipate..

IMEI ninazo na risiti. Karibuni kwa msaada.
 
Mnakatisha tamaa Mungu anawaona aseee ila si vema kunikatisha tamaa ..
 
Back
Top Bottom