Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Ph-25

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
1,159
537
Wadau wote kwa pamoja ebu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

editing..

Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000

Nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.

Update 25/9/2018

Kila siku nasema haya mambo yana badirika,watu tupende kusoma sana hii trick ilifanya kazi zamani sana,apo nyuzi 7 kulikuw na chanel mbili za mauritius ndio zilikua zina rusha ligi kuj ya uingereza lakini sikuizi hazipo,so hii trick ni useless kwa sasa,ilw zipo trick ambazo zinaweza kukusaidia ukaona iligi za ulaya bure bila kulipia.

Mind u,bure ni ghali sana na tecnologia inapo badirika nowdays na gharama za fta ndio zina panda sana.

Karibuni kwa maswali zaidi.
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

Mkuu sijakuelewa, hasa hapo ktk blue, ziko wapi?
 
naomba kuuliza maana aliyeweka thread hata sijamuelewa.
hiyo Azam tv inaonyesha (VPL) vodacom premier league tuu au na nyingine za nje kama EPL? ipo kama supersports ama? kwa anaejua plz
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.

2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.

3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.

4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.

5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.
 
azam tv hawaonesh epl,ila kuna frequence ambazo unaweza kutumia ukaona epl.
duu yaani kuanglia vpl.tu? hapana ana haja ya kuboresha tuweze kuangalia zote vpl na epl ili tuweze kumuungisha..hizo frequency si zitakua zinauzwa ama?
 
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.

2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.

3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.

4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.

5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.

bei ikoje ndugu?
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
Hivi dish la Azam TV ni la futi ngapi mkuu?
 
na nyie muache habari za epl. Nani awape epl kwa 12500. Mbona startimes wanalipa mbaka 40elfu na bado epl hawaoni. Ili jamaa waweze kuonesha epl inabidi tulipe sio chini ya elfu 80. Je wangapi watalipa? Je ataweza kushindana na dstv ambao tayari wamecover nchi nyingi?
 
azam tv,jiungeni na aljazeera sports tufaidi epl,ingieni mkataba nao tuone japo hata chaneli 2,3 za soka,nimewakubali sana kwa upande wa chaneli za muvi
 
azam tv,jiungeni na aljazeera sports tufaidi epl,ingieni mkataba nao tuone japo hata chaneli 2,3 za soka,nimewakubali sana kwa upande wa chaneli za muvi
 
Kuna jamaa kaitupia hiyo pic anadai nw kwa kile kile kishumbusi cha azam hata itv na eatv anaona kafanya hayo mautundu, kuna anae jua hapo satellite ipi imehusika?
 
Back
Top Bottom