App ya kuangalia television za bongo online

Im still experiencing the same problem mkuu, haichezi picha, nasikia audio tu! please do something!
ITV inazingua kwa leo. Ni baada ya owners kufanya update mwezi huu. Ila itatulia tu. Zingine kama StarTV ziko fresh
 
ITV inazingua kwa leo. Ni baada ya owners kufanya update mwezi huu. Ila itatulia tu. Zingine kama StarTV ziko fresh
Tunashughulikia ishu ya ITV ila itakaa sawa wakuu, kwa sasa inachelewa kama dakika mbili/tatu hadi kuanza kuonyesha picha
 
Back
Top Bottom