Vigezo vipya vya YouTube vinaenda kuwa rungu

Wanayoutubers Wazee wa Google Wameleta vigezo vipya ambavyo vitaanza kazi tar moja mwezi wa kwanza. Huu uzi tuufanye kama wa majadiliano ili Rungu hilo litupitie mbali maana milions of channel zitafungwa na Content kibao zitafutwa
Haya sawa.
 
Hivyo vigezo vipya ni vipi? Ebu Funguka
* Ni kuhusu haki za watoto, Si vipindi Vyote Vitakavyokuwa vinafaa kuangaliwa na watoto, Hivyo Unawekwa utaratibu wa kuhakikisha Maudhui yasiyofaa kwa watoto hayawafikii watoto, Kwa Yeyote atakaerusha maudhui yasiofaa kwa watoto Faini ya zaidi ya Mil 85 itamuhusu.

* Suala Jingine ni kuhusu Wezi wa Maudhui, Atakaekamatwa kaweka Video Isio yake au ambayo imeshawekwa Youtube Channel yake itafutwa au Video aliyoweka itafutwa, Utaratibu huu utafanywa kwa kutumia Atomatic Software kukamata wanaotumia third party content kwenye channels zao.
Marungu haya yanategemea kupoteza mamilioni ya channel's
 
Italinda IP ni nzuri na itaongeza You tube credibility!
 
Wana Youutubers, wazee wa Google wameleta vigezo vipya ambavyo vitaanza kazi tarehe moja mwezi wa kwanza.

Huu uzi tuufanye kama wa majadiliano ili rungu hilo litupitie mbali maana milions of channel zitafungwa na content kibao zitafutwa.

Na ndio utakua mwisho wa YouTube!

A stupid government agent!

Competitor anakuja,let this motherfvcker die!

Fvck em!Who cares?
 
Most funny fact ni kuwa umetabiri isivyo. Nimewahi zisikia ila sijawah kufikiri zinaweza kuwa mbadala. Hata hivyo asante kwa majibu

Sawa

Upo sahihi,nilibuni tu kuhusu wewe kuzisikia!

Nothing biggie!

Muda huu wa YouTube kufanya makosa ndio na wao wanazidi kupunguza gap!

Youtube ni monopoly mpaka basi,haya makosa madogo madogo ndio yanaleta difference!

Google waitwe Congress wafanyiwe congressional hearing wavunje Google imekua monopoly mno!

Wafungue kesi ya anti monopoly/anti trust case walivunjilie mbali kama ilivyojua Standard Oil in 1920’s!
 
Ndio maana kila nikiingia huko kuna masharti kibao naulizwa kama yale ya kujiunga twiter
Wana Youutubers, wazee wa Google wameleta vigezo vipya ambavyo vitaanza kazi tarehe moja mwezi wa kwanza.

Huu uzi tuufanye kama wa majadiliano ili rungu hilo litupitie mbali maana milions of channel zitafungwa na content kibao zitafutwa.
 
Daily motion kwa youtube bado sana, Nimetumia zote ila YouTube ipo well engineered, daily motion ni nzito, pia malipo YouTube ipo juu.

Mshua

Hata hapo zamani Yahoo was the best company ever on earth!

With the best technology and etc

Today Yahoo is dead!

Walikosea kidogo tu kwenye email solution yao,ilikua inapata spams too much!

Watu wote wakahamia Gmail!

Haya makosa ya kibwege bwege ya Google ndio yatakuja kuimaliza!

Dailymotion au Vine ni hovyo sasa hivi compared to Youtube,ila wataendelea kupunguza gap!

Be careful mzee!
 
Mbona unawapigia sana promo, unashare nini mzee baba?
 
Back
Top Bottom