SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 252
- 488
Habari wana JF,
Nimekutana na changamoto katika kufanya designing ya gazeti for Printing. Software ambayo nayotumia katika designing ya gazeti hili ni Adobe InDesign.
Najifunza designing ya gazeti niielewe zaidi. Hapa kitu kimoja kimenichanganya ni vipimo (dimensions) ambayo inatakiwa nitumie kwa haya magazeti ya ukubwa wa kawaida acha yale makubwa kabisa kama ambayo naona Daily News wanapenda kutoa.
Nimetafuta source mbalimbali mtandaoni lakini sijapata ufumbuzi kamili wa hili jambo kwani kuna source zingine zinaelekeza kulingana na size ya magazeti ambayo yanatumika nchini mwao.
Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie overview ya vipimo (width & height) vya gazeti ambalo linapaswa lipelekwe kufanyiwa printing.