Netflix Lifetime Membership, Free For Life

2991

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
619
626
Habari Wanajamvi, Kwa Wale Ambao Ni Wapenzi Wa Movies/TV Series au hata Wale Ambao Huwekeza Muda Wao Wa Kupumzika Kwenye Movies Basi Leo Naomba Tushirikishane Jambo Jema. Hii Ni Modded App Ya Netflix Ambayo Itakupa Premium Membership For Free Bila Kulipa Hata Cent na Ni Lifetime.
App Iko Kwenye Extension Ya .APK kwahyo Ni Kwa Ajili Ya Android Pekee.
Download App, Install Kwenye Android Device yako kisha Anza Kustream Au Kudownload Movies/TV Series.
Kama Utapata Error yoyote basi Tumia VPN na Kwa Ushauri Chagua India as Ur Region.

Leta screenshot isije ikawa MOvieBox Modded apk yenye Logo ya Netflix, maana unakuta ni modded na umeweka script zako kwa ndani kama za Ku hack Information au Ads

Hiyo
Screenshot_20191128-194851_Netflix%20by%20APKMODY.jpeg
 
Nikibonyeza watch now inaload tu
Habari Wanajamvi, Kwa Wale Ambao Ni Wapenzi Wa Movies/TV Series au hata Wale Ambao Huwekeza Muda Wao Wa Kupumzika Kwenye Movies Basi Leo Naomba Tushirikishane Jambo Jema. Hii Ni Modded App Ya Netflix Ambayo Itakupa Premium Membership For Free Bila Kulipa Hata Cent na Ni Lifetime.
App Iko Kwenye Extension Ya .APK kwahyo Ni Kwa Ajili Ya Android Pekee.
Download App, Install Kwenye Android Device yako kisha Anza Kustream Au Kudownload Movies/TV Series.
Kama Utapata Error yoyote basi Tumia VPN na Kwa Ushauri Chagua India as Ur Region.

Inautofauti gani na teaTv? Nimeona ni ile ile ambayo zamani iliitwa terrarium tv. Sio Netflix wala nini. Pia kuna swali la msingi kauliza mtu hapo juu

Leta screenshot isije ikawa MOvieBox Modded apk yenye Logo ya Netflix, maana unakuta ni modded na umeweka script zako kwa ndani kama za Ku hack Information au Ads
 
Mkuu hii sio Netflix, hii ni app ya BeeTV kama TeaTV, imekuwa modded tu ila ni zilezile pirated streaming apps kama terrarium
Kuna show kama the mandalorian na watchmen huwezi kuzipata netflix,

Hii yako
Screenshot_20191130-153258_Netflix by APKMODY.jpg

Angalia ilivyo tofauti na Netflix ya ukweli ukweli
Screenshot_20191130-153507_Netflix.jpg
 
Asante mkuu.
Hivi kwenye computer natumiaje?
Hii ina extension ya .APK so ni kwa ajili Ya Android. Unaweza tumia zile Android emulator kwenye PC ukarun Android APPS. Emulators Kama Bluestacks an NOX App Player
 
Iko compressed kwenye RAR, download RAR au App yoyote ambayo inafanya RAR extraction
[/QUOTE]
Kirefu cha RAR mkuu nisaidie
 
Kwanza iyo app uliyoshare, wanaweka movies zenye quality mbaya, camera copy hasa zile ambazo hazijaachiwa kwenye dvd.

Ulichokiweka ni BeeTV imewekewa icon ya Netflix
Angalia version ya hyo nliyoweka mim na version ya hyo ambayo umepost wewe bro
Mtu mwenyewe hata huelewi ulichokipost.
Umeandika lifetime membership, app haina mahala pa kulogin unasema ni membership?
Title yako ina mislead, ulicho share sio netflix.
Angalia kwenye settings za iyo netflix yako.

20191202_142839.jpeg

Angalia quality ya FROZEN 2
Mbaya,
 
Back
Top Bottom