Anayeijua Samsung S8/S8+ anijuze

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,432
5,081
Naona ni bora nijitoe kwenye chama la wana, sijapenda kitendo nilichokikuta katika simu mpya ya Tecno.

Anayejua bei ya kitanzania ya S8+ mpya na sifa zake kwa aliyezitumia anisaidie.
 
karibu ulimwengu wa flagship mzee.

hili ni jini,ghafla utajuta ulikuwa wapi siku zote.

nakushauri uchukue 8+maana ni kubwa kwa kioo.

speed kubwa.
laini sana haina kustack mzee baba.
betry inakaa vizuri tu
charger unique,hutawaona wana wakikuazima tena.

bei haitishi sana ni 750-850 inategemea eneo ulipoenda.
 
kuna jamaa wa kariakoo kanambia 550 s8+ inawezekan kweli au ni kopi yake ?
 
karibu ulimwengu wa flagship mzee.

hili ni jini,ghafla utajuta ulikuwa wapi siku zote.

nakushauri uchukue 8+maana ni kubwa kwa kioo.

speed kubwa.
laini sana haina kustack mzee baba.
betry inakaa vizuri tu
charger unique,hutawaona wana wakikuazima tena.

bei haitishi sana ni 750-850 inategemea eneo ulipoenda.
Mkuu ebu nijuze kuhusu samsung A40

Nataka nivute hiyo kitu
 
Mkuu ebu nijuze kuhusu samsung A40

Nataka nivute hiyo kitu
hilo nalo ni simu utafurahia ukaaji wa charge uliotukuka.hizi simu za kisasa ziko poa sana mzee ingawa sio kama flagship hapo juu.ila huwezi jutia.

kabei nako kamechangamka andaa 500 na kuendelea.
 
Aiseeee
Poa mkuu
 
karibu ulimwengu wa flagship mzee.

hili ni jini,ghafla utajuta ulikuwa wapi siku zote.

nakushauri uchukue 8+maana ni kubwa kwa kioo.

speed kubwa.
laini sana haina kustack mzee baba.
betry inakaa vizuri tu
charger unique,hutawaona wana wakikuazima tena.

bei haitishi sana ni 750-850 inategemea eneo ulipoenda.
Kuna kitoto cha chuo hapa ud kizuri nilikua nakitongoza kinazingua zingua, baadae kikanipa uchi kwa mbinde balaa. Bahati yangu nzuri nilikua na s8+ ila nilivunja kioo ikawa inastack, nikaitengeneza nikakapatia, yaani sijui hakajawahi kutumia hizi high end devices, yaani toka nimempa daily ananishukuru, akija home ananipa uchi kwa moyo wote najitafunia bila shida. Kila siku ananishukuru kuhusu hii simu, nikajua haka kalikua kamezoea tecno sasa nimekahamishia ulimwengu mwingine lazima kachanganyikiwe.

Mimi na samsung samsung na mimi, niliwahi kutumia matakataka ya apple ila yakanishinda, hapa najichanga nasubiri s11 mwakani, maduka ambayo hua nanunua simu hua unaruhusiwa kubadilisha tolea la zamani kwenda mpya.
 
Tuelekezane mkuu ni yapi hayo sijawahi tumia Samsung , nilikua microsoft, nikatoka nikahamia apple nikatoka na niko xiaomi. Nataman ladha ya high end yeyote ile namba nisumbue kitaa

Mkuu kikubwa Samsung ni display nzuri, laini na inayotiririka vizuri, ang'avu. Hizi high ends zina camera nzuri, specifications nyingi nzuri ambazo utaazipata apple baada ya miaka 2 au 3. Samsung wameniroga kwa kweli.
 
Nitajaribu sema kuna features zinanikosha sana na kwa simu za Samsung ni adimu kam vile ir blaster, naipenda sana
Mkuu kikubwa Samsung ni display nzuri, laini na inayotiririka vizuri, ang'avu. Hizi high ends zina camera nzuri, specifications nyingi nzuri ambazo utaazipata apple baada ya miaka 2 au 3. Samsung wameniroga kwa kweli.
 
Hii simu kuna siku simu yangu ilizima, nikamuazima jirani nipige picha ambayo nilikuwa nnihitaji sana ambayo ina details za namba n.k zilitoka vizuri sana kwenye S8, nikaomba nitumiwe nnatumia iphone, nilijuta hamna kitu kinasomeka, nikamuomba anitumie kwenye email ili nifungue kwenye PC balaa lile lile, nilijuta kwa kweli
 
Hahah aseh pole rafiki.
 
naitumia s8+ simu imekamilika kila idara niliinunua 600k pale mawasiliano ubungo na ina warranty.kama upo tayari nicheki nikuunganishe na huyu bwana
 
iphone tatizo ni vioo vyao.

utakuta picha ukipigia mule halafu uiweke kwenye samsungu inaonekana vyema sana.sasa weka picha ya simu nyingine uiangalie mule.utapanick.

atleast iphone 8 kwenda juu.
 
Kuna kitoto cha chuo hapa ud kizuri nilikua nakitongoza kinazingua zingua, baadae kikanipa uchi kwa mbinde balaa. Bahati yangu nzuri nilikua na s8+ ila nilivunja kioo ikawa inastack, nikaitengeneza nikakapatia, yaani sijui hakajawahi kutumia hizi high end devices, yaani toka nimempa daily ananishukuru, akija home ananipa uchi kwa moyo wote najitafunia bila shida. Kila siku ananishukuru kuhusu hii simu, nikajua haka kalikua kamezoea tecno sasa nimekahamishia ulimwengu mwingine lazima kachanganyikiwe.

Mimi na samsung samsung na mimi, niliwahi kutumia matakataka ya apple ila yakanishinda, hapa najichanga nasubiri s11 mwakani, maduka ambayo hua nanunua simu hua unaruhusiwa kubadilisha tolea la zamani kwenda mpya.
Wapi unanunua mkuu..?

Mm nataka samsung A40 ikioje bei. ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom