Nilikuwa naomba msaada simu ipi nzuri kati ya Nokia na samsung na simu mbili hapa kati ya Samsung A70 na Nokia 7.2.
Ipi simu nzuri au company ipi ina simu kali kwa sasa kwa upande wa camera au...
Hii ni tenda kubwa ambapo napanga kutumia fedha/kuwekeza katika huu mradi.
Watoa huduma ya SEO kwa tz kama kuna anayeweza hii tenda tuwasiliane.
sasa mimi nataka mtu au kampuni bora ya...
Kuna siku hapa Chuo (DIT) nilimuona mdau mmoja akipiga msuli laptop aliyokuwa akiitumia ni Macbook nilimfuata jamaa ili nimuulize machache kuhusu Macbook laptops kwa sababu na mimi nilitamani...
Habari wapendwa.
Naomba msaada kwa yeyote ambaye labda alishawai kukutana na tatizo kama hilo la touchpad ya Lenovo kutofanya kazi. Na hii imetokea baada ya kubadili Window 10 na kuweka window 7.
Je, unapenda kutengeza kitu chako ambacho umekitolea jasho?
Je, unapenda kujifunza technology mbalimbali hususani za kompyuta?
Je, unapenda kujua jinsi website zinavo fanya kazi.Basi hii thread...
Wakuu mimi natumia decorder ya Azam. Lakini kitu cha ajabu nashindwa kuona/kupata taarifa ya habari ya saa mbili usiku ya Azam kupitia king'amuzi chao. Zile local channel zingine zote nazipata...
Habari waungwana naombeni kujua App nzuri kwa kudownload audio yoyote ile ninayoitaka. Mara ya kwanza nilikuwa natumia Vidmate ila sasa hivi naona ishaanza kuzingua.
Ahsanteni.
Wakuu habari zenu.
Nina laptop aina ya Dell ambayo nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sasa. Siku nne zimepita ambapo nilipomaliza kuitumia, nikaizima kama kawaida. Sasa jana mchana nikataka...
Wakuu habarini.
Naomba kujua kwanini iPhones zina specifications ndogo ukilinganisha na simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia.
Sijaona iPhone inayozidi hivi vigezo:
- Maximum RAM 3gb
-...
Hello JF.
Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)
Price: Zote napata kwa bei...
Wakuu, salaamu.
Nina mpango wa kununua BASS GUITAR (5 strings). Kuna yeyote anayejua ni wapi naweza kupata hiyo kifaa kwa bei nafuu lakini kikawa cha uhakika?
Kama wewe ni mpigaji wa Bass...
Habari,
Nina simu aina ya Tecno CxAir ina muda wa karbia miaka mitatu tangu niinunue. Kwa muda wa miezi kadhaa sasa imekuwa na tatizo la charge kuisha haraka, na hasa ikifika around asilimia 70...
Huwa natamani sana ninunue tablet hasa ya kampuni ya Samsung ambayo ntakuwa napiga na kupokea simu pia.
Sasa katika kufanya utafiti nmekutana na hii kwenye mtandao wa ebay, sijui mnaionaje wadau...
Salam wana JF
Juzi Tigo wamenizwadia GB1 za mwezi
Shida ni kwamba nikiwasha data napata notification za YouTube ila nikijaribu Ku stream Hamna kitu
Hata nikiingia JF napo ni yale yale
Msaada please
Ili uweze kupata taarifa za miamala iliyokwishafanyika kuhusiana na kadi yako ikiwa ni pamoja na kuweka fedha kwenye kadi, kununua bidhaa na hata fedha zilizorudishwa baada ya manunuzi ya bidhaa...
Nimebadilisha battery mara 2, lakini bado inapata moto hatari, japokuwa siitumii sana ila nikiiwasha tu inapata moto mno. Nimeweka apps kama Wake Lock nk lakini bado tu, tusaidiane wakuu.
Kwanza ,nawapongeza NIDA kwa kurahisisha upatikanaji wa nakala ya Kitambulisho cha Taifa kwa usalama na kwa muda mfupi sana kupitia tovuti yao.
Najua wote tunafahamu kwamba kuanzia tarehe 01 Mei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.