Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa wale wataalamu wa software, nahitaji software niliyoitaja hapo juu. Aliyenayo tujulishane
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kwa mwenye kujua mashine/printers zinazoprint pvc cards/plastic cards kama vile ATM CARDS, VITAMBULISHO AU BUSINESSCARDS, kwa maana ya zinakowezapatikana nchini Tanzania na pia bei zake...
0 Reactions
24 Replies
14K Views
Wazee wa magame Naombeni product Key ya Euro Truck 2 VERSION 1.35.1.31 niactivate game hapa.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, nategemea mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu kama kawaida. Wakuu simu yangu nilibadili password kwa bahati mbaya nilisahau password mpya niliyoiweka. Nimeshidwa kuifungua...
2 Reactions
71 Replies
21K Views
Habari Wakuu, Natafuta mashine ya simu aina ya LG Nexus 5X, Iwe nzima au nauza kioo full cha hiyo simu pamoja na betri yake. Nitashukuru iwapo nitapata. Mawasilaiano yangu ni kwa namba 0717540261.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wa app ambayo inaweza ku-sign PDF kwa kutumia simu wakuu. Nilikuwa natumia Adobe Auto Fill ila tatizo sijaona option ya kubadilika rangi iwe ya blue ionekane...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello Tech. guys. Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal. Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe. Mana hizo...
2 Reactions
32 Replies
11K Views
Kwa watakaonielewa, huwa nina utaratibu nasave mapato na matumizi ya kila siku kwenye Hiyo App hapo juu ila huwa natumia simu. Sasa nahitaji kuhamisha huo utaratibu kwenye computer yangu. Sijui...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Msaada wadau nahitaji mwenye kujua website (Sio App) ambayo ninaweza kustream vipindi vya Tv za Tanzania live maana nimetafuta tangu jana sijaweza kupata.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu niliambiwa TTCL Wana bundle mrua la data, nikaona isiwe tabu nikatafuta laini ya TTCL , cha ajabu Kwanza sjui hawana menu Wana application ya kujiunga na vifurushi na penyewe lazma uwe...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Aje wakuu Naombeni msaada wa Desktop computer hipi inafaa kwa 3D graphics Design, Gharama yake na mahali pakuipata Naihitaji kwaajili ya 3D design na Video Editing for personal user
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu msaada tafadhali, Photocopier yangu aina ya Canon ImageRunner 2202 imeniletea Error 0002-0000. Tafadhali Mwenye kujua jinsi Ya kutatua tatizo hili anisaidie Tafadhali. If Possible anaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Naomba kujua performance kati ya hivi vifaa viwili vya kielectronic kwa aliyewahi kutumia mojawapo kati ya hivo au vyote. Nimeshatumia S7 Edge version ya USA verizon (Snapdragon...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini Wakuu mimi sio mwandishi mzuri sana hapa JF ila naomba kupata maoni kutoka kwa Watanzania wenzangu juu ya hii namba ya kituo cha Dharura 911 Tanzania. Nilishajaribu mara kadhaa kuipiga...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kardashev Scale ni mfumo wa kupima uwezo wa jamii iliyostaarabika (civilization) kiteknolojia kutokana na kiwango cha nishati wanachoweza kutumia. Mfumo huu ulioanzishwa na mwanasayansi Mrusi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada nifanyeje recently nimedownload game la fifia 19 bahati mbaya linagoma kucheza linasema, ninapojaribu kustart inasema `display driver stopped responding and has...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa anayefahamu kwanini meter ya maji inazunguka kama mota bila hata ya kufungua koki ya maji. Nimefuatilia bomba hakuna leakage yeyote ya maji. Tatizo ni nini?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu? Husika na mada tajwa hapo juu. Naomba kuelekezwa namna ya kufuta akaunti yangu ya Instagram maana nmegundua mimi sio mpenzi wa huu mtandao so app yake inanijazia tu simu...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari jamani Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee. SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom