Naombeni msaada kwa hili

Naombeni msaada kwa hili

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
2.jpg

Hello guys,

Ninahitaji kujinoa zaidi mbinu za kushinda kwenye drafti, nahitaji kufanyia mazoezi mbinu za kwenye vitabu kwa kutumia PC au simu.

Mfano kuna mbinu inaonyesha jinsi ya kushinda iwapo kete nyekundui zipo mbili vyumba fulani na kete za kijivu zipo tano vyumba husika, Nahitaji software au website ambayo itanisaidia niseti kete nyeusi zipo mbili vyumba navyotaka kuziweka na kete nyeupe moja niiweke katika sehemu husika na kisha niaze kufanyia mazoezi mbinu.

Yani iwe kama training ya kwenye game la mpira unaweza kuseti mazoezi yapi, wachezaji wangapi watakaofanya mazoezi fulani.
 
Nina hitaji kujinoa zaidi mbinu za kushinda kwenye drafti,
kama ni british draft (lile la kwetu la kawaida) naweza sema ni mazoezi kwa wingi, kushinda sana vijiweni , kucheza na watu tofauti, kukariri/kuelewa pattern , kukariri/kuelewa mitego common ( eg: kete tatu, kipochi , mguu wa tembo) , kuweza kutega mitego,, na kuweza kuikimbia kutoka kwa mpinzani

kukimbia pattern kutoka kwa mpinzani, kiukweli vitabu/app havitasaidia

ukicheza sana na sana ndivyo pattern/mitego zina stick kichwani, ukiacha, nazo zina turn into vapor

ila kama ni french, cheza lile la wadada wanaovua vyupi, wako fiti
 
Mkuu hizo mbinu zote zimo kwenye kitabu na jinsi ya kuzibiti wameelezea, nachotaka hapa ni kwamba nipate program ambayo itaniwezesha mimi kufanya kwa vitendo hizo pattern ili nizirekodi niwe napitia kwa urahisi kuliko kuanza kufungua vitabu tena
 
Kama unacho hicho kitabu kitupie humh, au tupe jina lake tukichek
 
Hata usome vitabu dunia nzima kama huchezi na wababe ni kazi bure kama upo dar nenda chuo kikuu cha draft pale manyanya
 
Nilikua nacheza mabibo hosteli, ila uwezo mdogo napasuka kila suku, ila kuna jamaa alinifundishaga copy moja inaitwa samba ndo kidgo nikawa napata sare na nikimkuta boya boya nampasua ila kwa mafundi ni kipigo tu napokea

Back
Top Bottom