Tujifunze namna ya kuandaa file/folder bila ya kuweka jina

Mtundu wa Tech

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
642
606
Habari JF!

Natumai mu wazima wa afya. Leo nataka kugusia kidogo jinsi ya kuandaa folder kwenye computer yako bila ya kuonekana jina la hilo folder.

Huu ni kuendelezo wa Tech Tricks tu katika section hii. Twende hatua kwa hatua na kama mwenye swali atauliza hapo chini.

Hatua kwa hatua

- Chagua folder unalotaka kulisave bila jina. Hapa tutatumia folder lililopo kwenye Desktop.

- Kwenye hilo folder weka mouse pointer kisha hold na right click baada ya hapo chagua rename.

- Baada ya kuchagua rename lile folder ligaonekana kama linataka uweke jina jingine. Sasa Bonyeza keyboard yako Alt button bila kuachia na pindi umebonyeza hiyo button andika herufi hizi kwa keypad za kulia ambazo zina namba pekee. Andika hizi 0160.

- Ukimaliza tu kuandika hizo 0160 bonyeza Enter button kwenye keyboard yako. Hapo utaona folder lako halina jina.

NB: Huu ni ukumbusho tu kwa ambao hawajui na kama kuna nyengeza mnaweza kuongezea hapa maana kuna wengine wanajua sana hizi Tech Tricks kuliko mimi.

By Mtundu wa Tech
 
Asante
Endelea kutufundisha mengi hiyo ndiyo faida ya kuwa na akili na kuitendea haki elimu yako kwa jamii.
 
kwenye pc mbona zinagoma hizo namba kuandikika na #ukiachia Alt zina andikika ila sio namba tena ila ni Herufi Na button zake zina someka M 0 J1 K2 L3 U4 I5 O6
 
Mmmh mbona inakubali au kuna hatua uliruka hapo juu?
kwenye pc mbona zinagoma hizo namba kuandikika na #ukiachia Alt zina andikika ila sio namba tena ila ni Herufi Na button zake zina someka M 0 J1 K2 L3 U4 I5 O6
 
Habari JF!

Natumai mu wazima wa afya. Leo nataka kugusia kidogo jinsi ya kuandaa folder kwenye computer yako bila ya kuonekana jina la hilo folder.

Huu ni kuendelezo wa Tech Tricks tu katika section hii. Twende hatua kwa hatua na kama mwenye swali atauliza hapo chini.

Hatua kwa hatua

- Chagua folder unalotaka kulisave bila jina. Hapa tutatumia folder lililopo kwenye Desktop.

- Kwenye hilo folder weka mouse pointer kisha hold na right click baada ya hapo chagua rename.

- Baada ya kuchagua rename lile folder ligaonekana kama linataka uweke jina jingine. Sasa Bonyeza keyboard yako Alt button bila kuachia na pindi umebonyeza hiyo button andika herufi hizi kwa keypad za kulia ambazo zina namba pekee. Andika hizi 0160.

- Ukimaliza tu kuandika hizo 0160 bonyeza Enter button kwenye keyboard yako. Hapo utaona folder lako halina jina.

NB: Huu ni ukumbusho tu kwa ambao hawajui na kama kuna nyengeza mnaweza kuongezea hapa maana kuna wengine wanajua sana hizi Tech Tricks kuliko mimi.

By Mtundu wa Tech
Inakubali kwenye folder moja tu, mengine inasema kuna file tayari lipo.
 
Back
Top Bottom