Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Oy wazee wa tech nilikua na wazo la kufungua ad network ambayo ni special sana kwa blogu za kuswahili ila lugha nyingine nitalipa pia japo bado nipo kwenye mawazo wapi nitapata matangazo au...
1 Reactions
4 Replies
660 Views
Msaada nimepiga window 10 nikaformat data All files zimepotea Msaada naweza kuzipata data ? Kama ndio nifanyaje? Nani atanisaidia au wapi nitasaiidiwa? Akhsante
1 Reactions
3 Replies
588 Views
Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
1 Reactions
2 Replies
529 Views
Mada fupi sana, tupe maoni yako. Una 1.5M, utanunua Laptop au TV?
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
nisaidieni namna ya kurudisha account ya facebook iliyodukuliwa na njia gani ya kuwasiliana na facebook
2 Reactions
3 Replies
4K Views
kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku bei nimeona around 370k za bongo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu? Hivi Ni android App zipi zinaweza kuedit .psd, .eps file format?? kama adobe Photoshop na illustrator? Nahitaji msaada Wakuu NIMEKWAMA.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau, Nahitaji kujua ili niwe na App yangu itakayo run kwenye adroid na ios nifanyaje. Mfano kiasi gani itanigarimu maximum kwa kuwalipa developers, vitu gani nifanye ili iwe safe in...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Ninasafari ya kuingia huko dark web!! Sina mentor Tayar nimedownload brower ya TOR NIENDE WAP SASA
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu Azam wazindue application yao ya AzamTV Max nimeweza kubaini udhaifu uliopo kwenye application hiyo ambao unampa ruhusa mhalifu wa mtandao kupata channel hizo...
8 Reactions
129 Replies
29K Views
Anaefahamu ufanyaji kazi wa hii platform ya trade245.com kwa tanzania namna ya ufanyaji kazi wake na risk zake pia
2 Reactions
2 Replies
656 Views
Habari wanajamvi na wapenzi wa games Mzigo wa DLS 2017 ushatoka kitambo,naomba msaada wa link yake ambayo ipo cracked tayari ili kupata unlimited coins.
8 Reactions
2K Replies
273K Views
Habar zenu Nahitaji prosesa i7 Gen 8 au i5 Gen8 ya dekistop Nanunua kwa bei nzuri Kama unayo namba niuzie Shukran sana kwenu
0 Reactions
10 Replies
966 Views
naomba kujua photocopy machine( black and white) all in one nzuri ambayo ni heavy duty kwa stationery ya kuanzia m1 to m3 used but in good condition
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu Habari za jioni Nina email yangu ya Gmail ambayo nilikuwa natumia pia kwenye simu yangu ya iPhone 7 Sasa wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu pale mwenge mataa Ila Leo jioni hii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port...
1 Reactions
0 Replies
849 Views
Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili...
4 Reactions
17 Replies
25K Views
Unajua kwanini imepewa jina la android ? Toka kuanzishwa kwake mwaka 2008 mfumo mzima wa google android operating system umekuwa maarufu sana ulimwenguni .unajua jina la "android" Lina msisimko...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom