Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau naomba mnijuze ni App free ambayo ina operate as MS word Avhana na Ile WPS Office
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kwema Ni kitambo sasa sijadownload miziki haswa ya nje ambayo nilikua naipakua bila shida mp3direc mp3juice moja kwa moja bila longo longo ya matangazo Majuzi kati nikataka niongeze library...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Wakuu, Nimetengeneza hosts file kutoka sources mbalimbali na nitakuwa nai-update mara kwa mara. Pakueni hiyo hosts file kupitia: link: 1Hosts — World's most advanced general-purpose DNS...
9 Reactions
84 Replies
14K Views
Habari za jioni wakali wa tech, Week iliyopita wife ame flash techno camon 11 baada ya kusahau password. Nawezaje kuzipata data zote, maana alikua anazitunza kwenye phone memory moja kwa moja...
0 Reactions
5 Replies
635 Views
Wakuu Happy Good Friday. Nimenunua smart TV na Kama mjuavyo ili tv iwe na clear pictures ni vizuri kuunga HD wire. Lakini Cha ajabu hiyo tv yangu haikubali kupokea huo waya wa HD. Tatizo laweza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu. Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?, Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel Cha...
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Tafadhari shufu kichwa cha habari hapo juu Natafuta Gcam ya Galaxy Note 9 (SM-N960U) Saidia plz
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba msaada kufanya verification of address kwenye Skrill account. Mimi ni mtumiaji wa Skrill, na awali nilikua nafanya miamala vizuri tu bila shida yoyote. Imefikia stage ya kufanya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu...
18 Reactions
62 Replies
7K Views
Habarini wana jukwaa! Bila kupoteza muda,nilitembelea maeneo fulani hapa mjini kwa rafiki yangu nikaona anatumia gesi ya kupikia ambayo ameizalisha kutoka shimo la choo,nilichokiona pale ni...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Mwanamuzi kutoka Tanzania anaejulikana kama diamond Plutnumz kutoka Wasafi Account yake ya YouTube yadukuliwa Kwa mara nyingine Leo tarehe 26 April
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahani Wakubwa Nahitaji Kujua Maeneo Unayoweza Kwenda Kuomba Kazi Au Kuaply Maombi Kwa Mtu Aliesomea Masuala Ya Cyber Forensic Kwa hapa. Tanzania Maana Nimejaribu Kuuliza Wengi Walioko Kwenye...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nipo uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara tafadhali
1 Reactions
19 Replies
14K Views
Asalaam Aleikum Ndugu Zangu, Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Kiafya Na Mnaendelea Na Majukumu Ya Kila Siku Ya Kujenga Taifa[emoji1241] Nahitaji Msaada Kwa Upande Whatsapp Yangu Ambapo Awali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajuvi naomba kujuzwa kama upo uwezekano wa redio kubwa maarufu sub woofer isiyo na njia ya kutumia solar kuweza kufanyiwa utaratibu ikaweza kutumia solar. Nauliza hivi kwa maana kuna baadhi ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu wakuu nisaidieni jinsi ya kusolve tatizo la laptop yangu aina ya acer aspire 4520 ambayo inawaka lakini screen haioneshi kitu zaidi ya weusi wa kiza nini tatizo?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hola chicos Siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto moja ambayo imenifanya nisifurahie kabisa PC yangu. Hii PC ni Lenovo Thinckthentre M93 All in One ila kioo chake ambacho kilikuja full...
2 Reactions
24 Replies
45K Views
Salam Ni Matumaini yangu Mko Salama Kabisa Na Mnaendelea na Majukumu ya kawaida kwa kila mmoja wetu, Niende kwenye Lengo Nilifungua youtube channel kitambo lakini sikuifatilia sana mbaka ivi...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
Habari waungwana, ninaomba msaada dogo ofisini kwangu ka format local disk D kwenye laptop yangu Acer Travelmate p253e. Je program gani inaweza saidia ku recover vitu vilivyofutwa? Sina raha...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua kama kuna uwezekano wa kufuta video ambayo tayari nimei upload kwenye youtube channel yangu. Kama ndio naomba njia za kufuata. Natanguliza shukran
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom