Tumekua na tabia ya kutumia cracked software au software za wizi bila kujua kuna free altenatives ambazo zina ubora sawa na tunazo iba/crack!
Hizi kwa mtazamo wangu ndio software bora za bure kwa...
Wakuu natumai mu bukheri wa afya. Niliwahi kusikia kuwa ukiwa na SMART TV unaweza kuunganisha kwenye simu yako na ukaangalia mechi za mpira wa miguu live kupitia Link mbalimbali zinazorusha mpira...
Wanasema shida huleta maarifa pale matatizo yanapotokea. Teknolojia ya gari zinazotumia umeme imekuja kushamiri kipindi mfumuko wa mafuta hukishika kasi.
Pitapita zangu ni kuuliza inawezekana...
Wakuu kwema...
Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution...
Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali...
Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..??
Msaada tafadhari.
I just got a laptop after several months of saving. I'd like to learn data science or Web development vigorously. Is it feasible to learn both? If yes, which should I start with?. I learn one has...
Kama umenunua kompyuta inayotumia mfumo wa window mara zote tunaita "PC". LAKINI wakati mwingine Mac nazo zinaitwa "A PC" pia. Je Kuna Siri Gani apa!! kwanini kompyuta zinaitwa PC hata hivyo...
Kila siku tunasikia wimbo kwamba TEHAMA tuko nyuma, tunahitaji wataalamu. Tunaona serikali ikihama kutoka kwenye paper files kuelekea kwenye mfumo wa mtandao; kuanzia malipo, maombi ya ajira...
Habari wakuu, leo kwenye pita pita zangu mtandaoni; nimeona kwamba Tanzania ipo miongoni mwa nchi chache Afrika ambazo Amazon inaweza kutuma (ship) mizigo. Hivyo, nilitaka kudadisi kama kuna...
Natumia Samsung Note 4 Verizon i.e N910V, firmware yake ni N910VVRU2BOG5.
Nataka kubadili N910V kwenda N910F, nitajieni international firmware (N910F) itakayoendana na firrmware ya Verizon ya...
Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS.
Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha...
Wakuu, habari zenu humu ndan. Katika simu yangu, kuna baadh ya Contacts ninapoChatt sion alama za vema mbili za blue ishara kwamba zimesomwa(Read), halafu najibiwa vzur tu ishara kwamba...
Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo...
Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze .
Au kama kuna alternative nyingine ningependa...
Wakuu kwema
Ni kitambo sasa sijadownload miziki haswa ya nje ambayo nilikua naipakua bila shida mp3direc mp3juice moja kwa moja bila longo longo ya matangazo
Majuzi kati nikataka niongeze library...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.