Zuku tv kiboko

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,837
8,221
Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua
 
wewe uzuri wz tv ni kuwa na stations nyingi za reggae?.acha bwana sisi wanazi wa soka lazima kuwemo na channel za michezo
 
Vp kuhusu watu wa mikoani unatakiwa kuwa na nini uweze kuunganishwa?
 
Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua

Bei yao maumivu sie tulio zoea Startimes huku tutashindwa
 
Nafikiri huyo ni employee wa hiyo kampuni, kaingia kiujanja hapa kwa great thinker
 
Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua
Wewe ni agent wa Zuku? Upo kazini unafanya marketing? Kwa hiyo Zuku premium unapata channel ngapi na zipi (local+International)
 
Aisee! Elfu tsh 40,000 ndio mshahara wangu kwa. Mwezi, ZUKU hawana lolote wababaishaji tu mda mleta mada yeye amevutiwa na ragge tehtehteh sisi wengine ni walevi wa movies na Easy TV ndio wananifaa kwa upande wangu
 
Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua
Ahsante kwa taharifa. Lakini je PRIMIE LIGUE,LA LIGA na BUNDESLIGGA wanaonyesha? Kama hawana football chanel'z basi hawana
inshu,sasa hivi mambo yote ni mpira. Binafsi nitaendelea kulipia DSTV PRIMIER kwa ajili ya mipira....no matter how much cash is costing me!
 
hata mie nasubiri ili nione CHANNEL zake! Kama hakuna za mpira, tena LIVE, basi hawatanipata ng'o!....
 
Wakitaka wawashike wabongo waweke channel za sports lasivyo hamna kitu wanafanya
 
Kwa maelezo hayo bila kuongeza neno, Zoku ni janga lingine la kitaifa!
Mtazania anaelemewa na tsh 7000 ya Startimes leo useme unamsaidia kwa 40000??

DSTV wataendelea kuwajuu kwakuwa wanachaneli za mpira!
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom