Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

ngebo

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
1,679
2,103
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa
°Google Maps
°Youtube
°Gmail
°Google search engine
°Chrome web browser
°Adsense
°Google photos
°Google Playstore
°Android ( google ilinunua android 2005 kutoka walioanzisha hivyo hii ikawafanya wawe wamiliki halali wa Android lakini kuna makubaliano na vitu vingine vingi siwezi kuviandika itabidi mgoogle makubaliano yao, licence nk... ndio maana hata samsung, Lg, nokia nk wanatumia android pia lakini bado utakuta google playstore kwenye device zote za android)

Inshort Google ni wafalme wa Software, yani wameteka nyanja zote za software na zinasaidia sana maisha, cheki watu wanaotumia iphone ila bado wanatumia google maps, youtube, Gmail nk.. google ni kama maji usipowanywa utaoga..

Haya turudi kwenye mada kuu, SIMU zao, google wametoa simu nyingi ila mimi naegemea tu kwenye simu zao zinazoitwa GOOGLE PIXEL , mtiririko wake ni huu

Google Pixel 1 / Google pixel XL , hizi zilitoka 2016 na ndio wakaleta mapinduzi kwenye simu, hii simu ilikuwa kali sana yani kwanzia camera, software yake, ram 4 gb, yani ilitoka mwaka sawa na iphone 7 ila pixel iliishinda Iphone kwa picha nzuri upande wa camera ila kwenye video, iphone itabaki kuwa mshindi hadi leo hii..

Google pixel 2 / Google pixel 2 XL

Google Pixel 3 / Google pixel 3 XL

na mwaka huu wametoa simu "revolutionary" , simu ya kwanza kuwa na astrophotography, ila niwaambie kitu, google pixel yani imeegemea sana upande wa camera, kama wewe ni mtu wa picha sana , hii simu unatakiwa uwe nayo

Google ndio walileta Night Sight, hakuna simu yoyote iliyokuwa inaweza kupiga picha gizani bila kuwasha flash, ila google na tech team yake walikaa wakadesign kitu kinaitwa nightsight ( hii ipo tu kwenye google pixel devices ) , ukipiga picha usiku na ukaonyesha mtu hatoamini kama ni simu ndio imepiga picha , ila baada ya pixel kutoa hiyo kitu, kampuni zingine zikafuata ila google ndio waanzilishi na hii kitu ilikuwa "mind blowing" , kwa wale "geeks" au tuseme wabobezi kwenye mambo ya simu watakuwa wanaelewa, ila nisiongee sana wakuu uzi ukawachosha , mkipata muda ingieni youtube kisha jaribuni kuangalia videos kuhusu pixel devices, ukiamua angalia pixel 4 , pixel 3 , pixel 2 au 1 ni wewe tu na bando lako,
naambatanisha picha za hizo simu , na picha ambazo niliweza kupiga usiku , za mchana zipo pia mkihitaji nitaweka,

Binafsi nimekuwa mtumizi wa hizi simu tokea 2017 hadi leo hii, nimeshatumia pixel 1 , 2 na 3 , kwa hii ya sasa bado sijajipanga maana ni almost 900$ , bado muda na ninadiriki kusema Google phones ni nzuri kushinda smart phone zote , na itabaki hivyo kwangu

Angalizo : nafahamu mtakuja kusema ooh ni tangazo hili au biashara ,HAPANA , SIUZI SIMU WALA SITANGAZI BIASHARA , HAYA NI MAWAZO YANGU TU NA MAPENZI KWA HIZI SIMU ZA GOOGLE , UKIPENDEZWA NAZO AGIZA AMAZON AU GOOGLE AU UKIWA NJE NUNUA MAANA HUKU BONGO NI ZA KUBAHATISHA .....

Kuna picha za google pixel devices, sijaweka zote mnaweza mkagoogle mzione na pia kuna sample ya picha za usiku zilizopigwa kwa kutumia iphone ten(X) na Google Pixel

Mkihitaji picha zaidi , nitatafuta muda nipige picha nyingi niwaletee muone mlinganisho kati ya hizi simu na simu zingine zote...
google-pixel-phone.jpeg
Screenshot_20191026-143141~3.jpeg
Screenshot_20191026-143153~2.jpeg
Screenshot_20191026-143207~2.jpeg
Google-Night-Sight-Example.jpeg
images%20(5).jpeg
 
ahwapi hakuna kitu kama hicho, wamegeza nini apple? kama unasemea shape ya simu ya iphone 11 na hiyo pixel 4 , kwa taarifa tu mkuu pixel 4 walileak hiyo shape yao tokea mwezi wa tano, kabla hata watu hawajafahamu iphone 11 itakuwaje, na wanafanyaga ivo kwajili ya mambo ka ayo, ni marketing strategy tu
Kwa game ilipofikia sasa,ukifeli kwenye design umefeli vyote.huyu anaiga apple design zake,kosa kubwa.

Ona pamoja na kutoa simu yenye camera kali,watu ni kama hawaijui mpka alipoibukia huawei huko alikotoka ndio tunamfahamu kama mwisho wao.
 
inafahamika sana mzee kwa uk na states, hata kwenye movies za avengers yenyewe sikuhizi wanatumia google phones
Kwa game ilipofikia sasa,ukifeli kwenye design umefeli vyote.huyu anaiga apple design zake,kosa kubwa.

Ona pamoja na kutoa simu yenye camera kali,watu ni kama hawaijui mpka alipoibukia huawei huko alikotoka ndio tunamfahamu kama mwisho wao.
 
pixel za kwanza sahivi unapata kwa 500k kushuka chini, pixel 2 ni 600k , 3 ni kwnye 800k sahivi , ingia google tafuta maduka yanayouza
Iyo pixel 3 bei ya laki nane(800) ni mpyaaa nachana kwenye box mwenyewe ?,tanzania hii nitaipata wapi mkuu maana kuna kamilioni hapa hakina kazi,kiukweli mi nimpenda simu zenye camera kaliii
 
hahah eh mzee mpya, we ingia hata knstagram, au uliza ndugu yako anayefaham maduka ya simu ulizia utapata maana sio mengi unakuta wanauza , mimi huwa nanunuaga nje ndugu..
Iyo pixel 3 bei ya laki nane(800) ni mpyaaa nachana kwenye box mwenyewe ?,tanzania hii nitaipata wapi mkuu maana kuna kamilioni hapa hakina kazi,kiukweli mi nimpenda simu zenye camera kaliii
 
hamna mkuu mbona bei sawa tu na iphone, yani hawajaamua tu kubase kwenye soko la bongo maana hata office za google huku bongo hakuna , sio kama apple wana dealers kila sehemu yani cheki mlimani wapo, upanga wapo nk...
True sema sio za type yetu masikini sie ndio maana zote ni highend
 
Ni wazuri kwenye Software, Na simu zao zinakaa charge. Vitu vingi bado wapo nyuma.

Google pixel 4 na 4xl zimedisappoint sana wateja. Kaondoa fingerprint na vitu vingine kibao.

Kuhusu camera bora mtu akanunue iphone 11 kwanza bei chee kuliko hiyo pixel 4
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa
°Google Maps
°Youtube
°Gmail
°Google search engine
°Chrome web browser
°Adsense
°Google photos
°Google Playstore
°Android ( google ilinunua android 2005 kutoka walioanzisha hivyo hii ikawafanya wawe wamiliki halali wa Android lakini kuna makubaliano na vitu vingine vingi siwezi kuviandika itabidi mgoogle makubaliano yao, licence nk... ndio maana hata samsung, Lg, nokia nk wanatumia android pia lakini bado utakuta google playstore kwenye device zote za android)

Inshort Google ni wafalme wa Software, yani wameteka nyanja zote za software na zinasaidia sana maisha, cheki watu wanaotumia iphone ila bado wanatumia google maps, youtube, Gmail nk.. google ni kama maji usipowanywa utaoga..

Haya turudi kwenye mada kuu, SIMU zao, google wametoa simu nyingi ila mimi naegemea tu kwenye simu zao zinazoitwa GOOGLE PIXEL , mtiririko wake ni huu

Google Pixel 1 / Google pixel XL , hizi zilitoka 2016 na ndio wakaleta mapinduzi kwenye simu, hii simu ilikuwa kali sana yani kwanzia camera, software yake, ram 4 gb, yani ilitoka mwaka sawa na iphone 7 ila pixel iliishinda Iphone kwa picha nzuri upande wa camera ila kwenye video, iphone itabaki kuwa mshindi hadi leo hii..

Google pixel 2 / Google pixel 2 XL

Google Pixel 3 / Google pixel 3 XL

na mwaka huu wametoa simu "revolutionary" , simu ya kwanza kuwa na astrophotography, ila niwaambie kitu, google pixel yani imeegemea sana upande wa camera, kama wewe ni mtu wa picha sana , hii simu unatakiwa uwe nayo

Google ndio walileta Night Sight, hakuna simu yoyote iliyokuwa inaweza kupiga picha gizani bila kuwasha flash, ila google na tech team yake walikaa wakadesign kitu kinaitwa nightsight ( hii ipo tu kwenye google pixel devices ) , ukipiga picha usiku na ukaonyesha mtu hatoamini kama ni simu ndio imepiga picha , ila baada ya pixel kutoa hiyo kitu, kampuni zingine zikafuata ila google ndio waanzilishi na hii kitu ilikuwa "mind blowing" , kwa wale "geeks" au tuseme wabobezi kwenye mambo ya simu watakuwa wanaelewa, ila nisiongee sana wakuu uzi ukawachosha , mkipata muda ingieni youtube kisha jaribuni kuangalia videos kuhusu pixel devices, ukiamua angalia pixel 4 , pixel 3 , pixel 2 au 1 ni wewe tu na bando lako,
naambatanisha picha za hizo simu , na picha ambazo niliweza kupiga usiku , za mchana zipo pia mkihitaji nitaweka,

Binafsi nimekuwa mtumizi wa hizi simu tokea 2017 hadi leo hii, nimeshatumia pixel 1 , 2 na 3 , kwa hii ya sasa bado sijajipanga maana ni almost 900$ , bado muda na ninadiriki kusema Google phones ni nzuri kushinda smart phone zote , na itabaki hivyo kwangu

Angalizo : nafahamu mtakuja kusema ooh ni tangazo hili au biashara ,HAPANA , SIUZI SIMU WALA SITANGAZI BIASHARA , HAYA NI MAWAZO YANGU TU NA MAPENZI KWA HIZI SIMU ZA GOOGLE , UKIPENDEZWA NAZO AGIZA AMAZON AU GOOGLE AU UKIWA NJE NUNUA MAANA HUKU BONGO NI ZA KUBAHATISHA .....

Kuna picha za google pixel devices, sijaweka zote mnaweza mkagoogle mzione na pia kuna sample ya picha za usiku zilizopigwa kwa kutumia iphone ten(X) na Google Pixel

Mkihitaji picha zaidi , nitatafuta muda nipige picha nyingi niwaletee muone mlinganisho kati ya hizi simu na simu zingine zote...View attachment 1245330View attachment 1245331View attachment 1245332View attachment 1245333View attachment 1245335View attachment 1245336
 
sawa wameondoa fingerprint ila wameweka the fastest face id kuliko hata ya iphone, inatambua sura hata uwe umefunga macho/ total darkness... hapana cheki reviews still pixel 4 ina camera nzuri kuliko iphone 11 , wamezingua tu kuondoa telephoto
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom