App ya viziwa

App ya viziwa

bievinii

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
712
Reaction score
738
Habarini wakuu, natumau hamjambo
Ndugu nimeskia Kuna app maalum kwa ajili ya viziwi ambayo inawasaidia pale mtu akikupigia ukipokea simu yule mtu akiongea ile app inakuletea maandishi kwenye skrini ukimjibu kwa kuongea na yeye kule akiongea TU huku yanakuja maandishi mengine

Je, Kuna ukweli?! Kama jibu Ni ndio naomba mniambie hiyo app inaitwaje maana na mieni muhanga jamani
 
habarini wakuu, natumau hamjambo
Ndugu nimeskia Kuna app maalum kwa ajili ya viziwi ambayo inawasaidia pale mtu akikupigia ukipokea simu yule mtu akiongea ile app inakuletea maandishi kwenye skrini ukimjibu kwa kuongea na yeye kule akiongea TU huku yanakuja maandishi mengine

Je Kuna uk well?! Km jibu Ni ndio naomba mniambie hiyo app inaitwaje maana na mie Ni muhanga jamani
Pole mkuu wewe Ni hearing impairement? By born or??
 
habarini wakuu, natumau hamjambo
Ndugu nimeskia Kuna app maalum kwa ajili ya viziwi ambayo inawasaidia pale mtu akikupigia ukipokea simu yule mtu akiongea ile app inakuletea maandishi kwenye skrini ukimjibu kwa kuongea na yeye kule akiongea TU huku yanakuja maandishi mengine

Je Kuna uk well?! Km jibu Ni ndio naomba mniambie hiyo app inaitwaje maana na mie Ni muhanga jamani
Nami ni muhanga tuwasubiri wadau hapa.
 
Back
Top Bottom