Msaada: Mawakala wa kuagiza bidhaa za mtandaoni

pj lufunya

Member
Dec 21, 2012
22
4
Kama nilivyotangulia kusema mimi ni miongoni mwa wasio na uelewa wa namna ya kuagizia bidhaa mtandaoni kama vile Alibaba,Amazon nk

Ili kukwepa kukosea namna ya kufanya online shopping naona bora nitumie mawakala wenye uzoefu
ili kukwepa upotevu wa pesa

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu hujaeleweka unataka nn. Yan umehitimiaha kuwa utatumia mawakala.
 
Na kama unataka ushauri hebu pitia huku kuna nyuzi kibao ziliwa kufunguliwa kuhusuana na jambo kama lako
 
Kama nilivyotangulia kusema mimi ni miongoni mwa wasio na uelewa wa namna ya kuagizia bidhaa mtandaoni kama vile Alibaba,Amazon nk

Ili kukwepa kukosea namna ya kufanya online shopping naona bora nitumie mawakala wenye uzoefu
ili kukwepa upotevu wa pesa

Natanguliza shukrani.
Hayo mambo ya uwakala uchwara utaishia kulizwa tafuta mtu umjuaye vzuri na unayemuamini akuelekeze au aukusaidie kuagiza vingnevo utakuja kufungua thread nyingne Hapa ukimtafutia chakumfanya mbaya wako
 
Tahadhali kabla ya hatari
 
Back
Top Bottom