(IPHONE USERS) iphone 14 leaked design photos in the house.

(IPHONE USERS) iphone 14 leaked design photos in the house.

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,844
Reaction score
16,096
Picha hizi zimetoka kwa ma designer tofauti na zinakisiwa kuwa Inawezekana iphone 14 ikawa na muundo huu hapa kwa toleo lijalo na pia yaweza ikawa ndo mwanzo wa apple kuanza ku release mfumo wa charge za type C.[emoji116][emoji116]
IMG_4476.jpg

IMG_4475.jpg

IMG_4474.jpg

IMG_4471.jpg

IMG_4470.jpg

IMG_4467.jpg

IMG_4468.jpg

IMG_4469.jpg

IMG_4473.jpg
 
Mshkaji wangu bado ana iphone 6s anadai yeye anapenda iphone yenye home button hivyo hana mpango wa kutoka hapo.

[emoji23][emoji23] aisee kashindwa kupata ka x au xr zipo hadi 700k mkuu
 
Mkuu sometimes sio kushindwa ni uamuzi wa mtu..mfano mimi nilinunua 7 plain enzi hizo tena nilipata mtu anatoka US akaja nayo mpaka leo nadunda nayo wala sijawah waza kununua nyingine

Nakupata sana ukipata iphone original ya usa mimi nnayo 7+ ya usa yani hii simu mwezi huu nimedondosha sakafuni mara mbili haijapasuka na 128gb camera ndo hugusi
 
design nzuri sema wanabania sana, hawa jamaa si waweke camera nne au steve ndio kafaga na visions zake

simu nayoipenda ni inayoniwezesha nisome kitabu huku naandika summary kwenye margin ya pdf kiurahisi, kuchora chora nn...najua ushajua simu ipi
 
kwa sasa hadhi ya macho 3 iko chini sana maana mpaka sasa simu awamu 3 ziko sokoni.

mtu atashika macho matatu usielewe ana 11pro,11 max,12 pro 12 max,13 pro au 13 max.
hope watafanya kitu kwenye design ya camera huko nyuma,itaongezwa moja yenye madirisha ya kuzoom,maama upande wa zooming iphone analeta utoto wa kindergarten advance[emoji16][emoji16].
 
Mkuu hizi macho 3 series labda kwa asie jua kuzitofautisha ukiangalia nyuma kwenye camera kuna utofauti sana tu lakn yakubid uwe makini.
 
Mkuu hizi macho 3 series labda kwa asie jua kuzitofautisha ukiangalia nyuma kwenye camera kuna utofauti sana tu lakn yakubid uwe makini.
moja ya goals katika biashara za apple wanakwambia bidhaa yao ionekane na kutambulika kutokea mbali,hatuwezi kataa kasi ya mabadiriko ktk tech inawaacha mafundi wakati mwingine.

ili kuona tofauti mpaka iwepo karibu kabisa au mkononi,na kwa wapenzi watazamaji ambao ndio walengwa kama si wafuatiliaji wataona ni ile ile tu aliyoiona jana kwa fulani.
 
Picha hizi zimetoka kwa ma designer tofauti na zinakisiwa kuwa Inawezekana iphone 14 ikawa na muundo huu hapa kwa toleo lijalo na pia yaweza ikawa ndo mwanzo wa apple kuanza ku release mfumo wa charge za type C.[emoji116][emoji116]View attachment 2240921
View attachment 2240922
View attachment 2240923
View attachment 2240924
View attachment 2240925
View attachment 2240926
View attachment 2240927
View attachment 2240928
View attachment 2240929
Wamelazimishwa na Europe
 
Back
Top Bottom