Msaada kwenye Hisense smart TV

taekwondo

Senior Member
Oct 6, 2016
122
206
Habari zenu,

Naombeni msaada wa kitaalamu,Tv yangu imegoma kuwaka ghafla tu...Inawaka taa nyekundu ya power button,ila ukiswitch On haidisplay chochote!

Kwa anaefamu tatizo,na Cost zake naomba msaada tafadhari.
 
Hasa hizi
Screenshot_20220507-123029_Instagram.jpg
 
Itakuwa poa kama utakuja ukiwa umeweka kwenye box lake pia usisahau warant cad
Nipo kariakoo jengo la simba sport club hapa ...... warant cad ninnzuri kama bado ipo valid nikusaidie kupeleka services centre ili kupunguza garama
Nashukuru kaka.nitakupigia
 
Habari zenu,

Naombeni msaada wa kitaalamu,Tv yangu imegoma kuwaka ghafla tu...Inawaka taa nyekundu ya power button,ila ukiswitch On haidisplay chochote!

Kwa anaefamu tatizo,na Cost zake naomba msaada tafadhari.
Unatumia stablelizer
 
Shida ingine labda unazimia ukutani moja kwa moja bila kutumia remote control kuzima tv then computer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom