Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wana jukwa za asubuhi poleni na kazi naomba msaada wa kufahamu duka wanalouza vifa vya ecltronic ic chip kariakoo Natafuta IC CHIPS hizi
1 Reactions
1 Replies
649 Views
Miezi kadhaa iliyopita nilikidhi vigezo vya 4000hrs na 1000subs baada ya kujaribu mara kadhaa ku request PIN kwa ajili ya adress verification leo naona imefika posta. NB: 1. Adress nimetumia ya...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari marafiki. Hii ni post yangu ya kwanza hapa. Ninatuma hii kwa suala na kivinjari changu cha Firefox. Kwanza kabisa, ningependa kueleza kuwa mimi ni mwanafunzi wa usimamizi wa biashara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nahitaji msaada wa APK Application ya MT Newswire. Hii ni application inayotoa taarifa za matukio ya kiuchumi duniani. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Spotify na Netflix wanakuwezesha kupata soundtrack na nyimbo kutoka kwenye filamu au tamthilia zako pendwa za #Netflix, orodha za nyimbo, podcasts na mengi zaidi katika sehemu moja kupitia Netflix...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar wadau mdogo wenu leo nimeshuka chini kidogo upande wa hardware ili nijue processor inafanyaje kazi na sio kuandika tu program kila siku bila kujua huko chine kukoje mm sijaja kuwasumbua...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni kwa wale wanaojifanya eti wapo USA kumbe wapo bongo inawafaa sana hii(samahani km nmekwaza mtu). 1-Tembelea https://signup.voxox.com/signupvoxox kisha jaza form hapo 2-Ingiza namba...
5 Reactions
114 Replies
33K Views
Oy wazee wa tech nilikua na wazo la kufungua ad network ambayo ni special sana kwa blogu za kuswahili ila lugha nyingine nitalipa pia japo bado nipo kwenye mawazo wapi nitapata matangazo au...
1 Reactions
4 Replies
660 Views
Msaada nimepiga window 10 nikaformat data All files zimepotea Msaada naweza kuzipata data ? Kama ndio nifanyaje? Nani atanisaidia au wapi nitasaiidiwa? Akhsante
1 Reactions
3 Replies
588 Views
Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
1 Reactions
2 Replies
529 Views
Mada fupi sana, tupe maoni yako. Una 1.5M, utanunua Laptop au TV?
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
nisaidieni namna ya kurudisha account ya facebook iliyodukuliwa na njia gani ya kuwasiliana na facebook
2 Reactions
3 Replies
4K Views
kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku bei nimeona around 370k za bongo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu? Hivi Ni android App zipi zinaweza kuedit .psd, .eps file format?? kama adobe Photoshop na illustrator? Nahitaji msaada Wakuu NIMEKWAMA.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau, Nahitaji kujua ili niwe na App yangu itakayo run kwenye adroid na ios nifanyaje. Mfano kiasi gani itanigarimu maximum kwa kuwalipa developers, vitu gani nifanye ili iwe safe in...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Ninasafari ya kuingia huko dark web!! Sina mentor Tayar nimedownload brower ya TOR NIENDE WAP SASA
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu Azam wazindue application yao ya AzamTV Max nimeweza kubaini udhaifu uliopo kwenye application hiyo ambao unampa ruhusa mhalifu wa mtandao kupata channel hizo...
8 Reactions
129 Replies
29K Views
Anaefahamu ufanyaji kazi wa hii platform ya trade245.com kwa tanzania namna ya ufanyaji kazi wake na risk zake pia
2 Reactions
2 Replies
656 Views
Back
Top Bottom