Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,053
Nina account yangu ya IG ina followers wengi kiasi na niliitumia kipindi cha nyuma wakati u team umepamba moto. Sasa nimekomaa kiakili nataka niitumie kwa biashara. Tatizo sikumbuki password wala email niliyotumia kuifungua.
Wataalamu wa teknolojia mnaweza kweli kunisaidia ili niweze kuitumia hii account?
Wataalamu wa teknolojia mnaweza kweli kunisaidia ili niweze kuitumia hii account?