Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

ACHANA NA HDD KUANZIA SASA TUMIA SSD !! Je unatafuta sehemu salama ya kuhifadhi vitu vyako !! Je hard disks Yako imepungua Kasi kwenye kutuma au kurusha kitu ? Au unatafuta sehemu salama ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu. Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
0 Reactions
3 Replies
757 Views
Kompyuta au laptop Yako inashindwa kuunganisha na wifi !!! Wifi imekua teknolojia muhimu Sana kwa muda mrefu kwenye simu au kompyuta zetu , mara nyingi tunaichukulia ni rahisi Kama vile umeme...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa wa namna ya ku quote link ya thread fulani! Kwa mfano labda mtu aliweka thread yake sasa nataka ku quote kile kichwa cha habari (link). Sijui nimeeleweka! Mfano kama wewe...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Hivi karibuni kampuni ya kiteknolojia ya kusambaza huduma za internet kwa njia ya satellites ya starlink inategemea kuanza kuhudumia nchi hizo tajwa hapo juu. Inatajwa kuwa nchi hizo zitakuwa za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukifanya nitachukua na kumpa majibu huyu mwanafunzi!
0 Reactions
4 Replies
559 Views
Nipo Morogoro msamvu stend jirani kuna ghorofa la Morena Hotel! Hii hotel ina huduma ya Wifi bure kabsa na password zake lakini simu yangu kila niki search ili ni connect haitaki simu yangu ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu, natumau hamjambo Ndugu nimeskia Kuna app maalum kwa ajili ya viziwi ambayo inawasaidia pale mtu akikupigia ukipokea simu yule mtu akiongea ile app inakuletea maandishi kwenye...
1 Reactions
6 Replies
462 Views
Ni wiki ya Pili sasa kila ninavyojaribu kuflash inanisumbua wakati mwingine inasema Cant connect Port serial com au inaganda kwenye Super Img..... Nani ana Idea na hizi Simu?
1 Reactions
6 Replies
899 Views
Picha hizi zimetoka kwa ma designer tofauti na zinakisiwa kuwa Inawezekana iphone 14 ikawa na muundo huu hapa kwa toleo lijalo na pia yaweza ikawa ndo mwanzo wa apple kuanza ku release mfumo wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
BADILI MLANGO WA CD KUWA STORAGE Hivi Unajua kwenye laptop Ile sehemu ya kuweka CD (optical drive ) unaweza kubadilisha kuwa sehemu ya storage kuweza kuhifadhi vitu !! Najua watu wengi mlikua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
J
Msaada wa kuiconnect Mastercard ili ikubali kwenye Google Ads pia iyo Mastercard ipo active ila inaandika ivo
0 Reactions
3 Replies
474 Views
Kama nilivyotangulia kusema mimi ni miongoni mwa wasio na uelewa wa namna ya kuagizia bidhaa mtandaoni kama vile Alibaba,Amazon nk Ili kukwepa kukosea namna ya kufanya online shopping naona bora...
0 Reactions
9 Replies
839 Views
Habari zenu, Naombeni msaada wa kitaalamu,Tv yangu imegoma kuwaka ghafla tu...Inawaka taa nyekundu ya power button,ila ukiswitch On haidisplay chochote! Kwa anaefamu tatizo,na Cost zake naomba...
2 Reactions
70 Replies
19K Views
Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni...
3 Reactions
67 Replies
15K Views
Kudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu 1. Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya...
4 Reactions
63 Replies
15K Views
Wakuu Habari zenu Masada laptop yangu ina blink taa Za standby bila kukata...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa °Google Maps °Youtube °Gmail °Google search...
10 Reactions
277 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…