Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
ACHANA NA HDD KUANZIA SASA TUMIA SSD !!
Je unatafuta sehemu salama ya kuhifadhi vitu vyako !! Je hard disks Yako imepungua Kasi kwenye kutuma au kurusha kitu ? Au unatafuta sehemu salama ya kuhifadhi taarifa zako !! Huu ni wakati wako wa kufanya maboresho.
Najua watu wengi wanatumia Hard driver kwenye kuhifadhi vitu vyako mbalimbali Kama picha , video , documents ma file makubwa na madogo Ila ni wakati wa kuachana na Hard disk tumia SSD !!!
SSD kirefu chake ni solid state drive ni aina moja wapo ya kifaa Cha kuhifadhi data (taarifa) Kama ilivyo hard driver ila ina utofauti mkubwaa Sana.
Unajua kwani utumie SSD badala ya HDD ?
Ukitumia SSD Iko fast Sana kuliko hard driver kwani Kasi yake ni mara mia moja ya hard driver Iko faster katika kuhamisha data au kukopi data kutoka kwenye flash au kutoka kwenye SSD kwenda kwenye flash.
Pia ni Nyepesi sio nzito alafu aina kelele yoyote ukitumia SSD utaondokana na stress kwenye kompyuta au laptop Yako kupiga piga kelele alafu sio nzito haichoshi.
Ukitumia SSD inadumu muda mrefu pia ni imara Sana alafu haifi kizembe Kama hard drive
Pia haipati joto moja kati ya changamoto kubwa ya hard drive ni kupata Sana joto Ila ukitumia SSD icho kitu utakisikia tu kwa jirani kwa sababu kwenye hard drive inapata joto kutokana na mzunguko wake.
Ziko faida nyingi Sana za kutumia SSD Ila ngoja nikumalizie na performance Unajua unapotumia SSD ufanyaji wake kazi ni mkubwa Sana kuliko hard drive ivyo haichezi chezi Wala kuhalibika kizembe.
Tumia SSD kwa ajili ya kompyuta au laptop Yako ili kuondokana na matatizo ya kuganda Ganda , kompyuta kuwa nzito kwenye kuwaka au kutumia , kupiga piga kelele nk.
Karibu dukani kwetu tukuhudumie Sasa
tupigie Sasa #0655013256 | #0692630904 | #0765171270