Naombeni msaada wa wa namna ya ku quote link ya thread fulani! Kwa mfano labda mtu aliweka thread yake sasa nataka ku quote kile kichwa cha habari (link).
Sijui nimeeleweka! Mfano kama wewe...
Hivi karibuni kampuni ya kiteknolojia ya kusambaza huduma za internet kwa njia ya satellites ya starlink inategemea kuanza kuhudumia nchi hizo tajwa hapo juu. Inatajwa kuwa nchi hizo zitakuwa za...
Nipo Morogoro msamvu stend jirani kuna ghorofa la Morena Hotel!
Hii hotel ina huduma ya Wifi bure kabsa na password zake lakini simu yangu kila niki search ili ni connect haitaki simu yangu ni...
Habarini wakuu, natumau hamjambo
Ndugu nimeskia Kuna app maalum kwa ajili ya viziwi ambayo inawasaidia pale mtu akikupigia ukipokea simu yule mtu akiongea ile app inakuletea maandishi kwenye...
Ni wiki ya Pili sasa kila ninavyojaribu kuflash inanisumbua wakati mwingine inasema Cant connect Port serial com au inaganda kwenye Super Img..... Nani ana Idea na hizi Simu?
Picha hizi zimetoka kwa ma designer tofauti na zinakisiwa kuwa Inawezekana iphone 14 ikawa na muundo huu hapa kwa toleo lijalo na pia yaweza ikawa ndo mwanzo wa apple kuanza ku release mfumo wa...
BADILI MLANGO WA CD KUWA STORAGE
Hivi Unajua kwenye laptop Ile sehemu ya kuweka CD (optical drive ) unaweza kubadilisha kuwa sehemu ya storage kuweza kuhifadhi vitu !!
Najua watu wengi mlikua...
Kama nilivyotangulia kusema mimi ni miongoni mwa wasio na uelewa wa namna ya kuagizia bidhaa mtandaoni kama vile Alibaba,Amazon nk
Ili kukwepa kukosea namna ya kufanya online shopping naona bora...
Habari zenu,
Naombeni msaada wa kitaalamu,Tv yangu imegoma kuwaka ghafla tu...Inawaka taa nyekundu ya power button,ila ukiswitch On haidisplay chochote!
Kwa anaefamu tatizo,na Cost zake naomba...
Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni...
Kudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu
1. Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya...
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa
°Google Maps
°Youtube
°Gmail
°Google search...
Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique...
Wakuu habari ya wakati huu.. Samahani kuna hiyo simu imepasuka kioo imetoa mistari mingi Sana baada ya kudondoka chini ila touch inafanya kazi Kama kawaida!!! Nauliza Inaweza kubadilishiwa kioo na...
Kwa sasa ni wazi kuwa kila kampuni ya simu inajitahidi kwenda na wakati kwa kuzindua simu mpya zenye sifa mbalimbali na zinazo endana na wakati.
Lakini kama wewe ni kama mimi ni wazi kuwa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.