Tatizo la wifi kwenye kompyuta au laptop Yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Kompyuta au laptop Yako inashindwa kuunganisha na wifi !!!

Wifi imekua teknolojia muhimu Sana kwa muda mrefu kwenye simu au kompyuta zetu , mara nyingi tunaichukulia ni rahisi Kama vile umeme unaotumia kompyuta zetu.

LAKINI umekua ukisumbuliwa na Tatizo la wifi kwenye kompyuta na kushindwa kufurahia Kasi ya intaneti kwenye laptop au kompyuta Yako.

Kuna Sababu kadhaa kwanini kifaa chako kina sumbua kwenye kuunganisha na wifi kupata intaneti
ikiwa Ujafanya update kwenye window Yako Kama 10, 7 ,8 au 11 Kuna baadhi ya Os unashindwa kuuunganisha

Kuna baadhi ya driver zilizopo kwenye laptop au kompyuta Yako hazitaki kufanya kazi kabisa

Kuna switch ya wifi kwenye laptop Yako Iko LAKINI ujairuhusu kuanza kufanya kazi ivyo unaikuta hiko off unachotakiwa kuweka on

Kuna baadhi ya window Os hazitaki ku support kabisa mfumo ulioko kwenye kompyuta au laptop Yako Hata ukifanya update haitaki

Pia Kama kifaa chako haki support wifi Kuna wakati unajikuta unatumia kompyuta au laptop kumbe hai support wifi kabisa.

Ni muda wa kutumia ๐—จ๐—ฆ๐—• ๐˜„๐—ถ๐—ฟ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜€๐˜€ ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ฒ๐—ฟ !! ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ??

USB wireless adapter ni Teknolojia ya kutumia intaneti kwenye kompyuta Yako pamoja na vifaa vingine kwa kutumia port ya USB ivyo inafanya Kazi kwenye desktop pamoja na laptop bila shida yoyote.

โ€ข Kwanza huitaji kufanya installation yoyote Ile kwenye kompyuta au laptop Yako ukiweka tu inafanya Kazi

โ€ข Inakupa nguvu Kama kompyuta Yako Ina mfumo wa kizamani not support wifi spidi yake ni mara mbili iliyopo kwenye simu.

โ€ข Gharama yake ni rafiki mtu yeyote anaweza kutumia
โ€ข Ina nguvu zaidi kwenye kutumia unaweza sema unatumia teknolojia ya 5G kumbe ni USB wireless Network.

Gharama yake ni Elfu kumi Tu 10000/=

Karibu @wikeltechnologies_tz
utazipata ziko nyingi
Tupigie Sasa #0692630904 #0765171270

Teknolojia ni Yetu sote
IMG_20220528_183028_744.jpg
 
Teknolojia ni Yetu sote View attachment 2242448
Tupe Elimu ya Software ipi nikiinstal kwenye simu/computer itaweza kunipa Password ya Wife iliyopo jiran ili niunge niweze kupata internet
 
Back
Top Bottom