Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha. Naomba programmers/developers wa Blockchain na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
naomba kujua app au software ambayo inauwezo wa hack simu(calls & messages) bila kuwa nayo physically.
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani wale wenzangu na mimi mnaotumia Paypal mlishawahi kukumbana na tatizo la paypal kushikilia pesa yako kwa miezi 6 na kisha baada ya hapo kukwambia uitoe ila option iliyopo ni kupitia...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari waungwana.. Naombeni msaada juu ya namna gani naweza kupata driver ya printer hp deskjet 2320, natumia Window 10,Version 20H2 Os build 19042.746. Nimejaribu kudowload(Hp smart, hp easy...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJamiiForums Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kufahamu kati ya Computer science, Computer engineering, IT na ICT ipi ni Bora na inafursa nyingi sokoni.?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wapendwa , Nimefanikiwa kudownload game la PS3 "The evil within" kutoka torrent site, na sasa napata shida ni namna gani nitaweza install katika PS3 Jailbroken yangu. Naona kila mbinu...
0 Reactions
32 Replies
12K Views
Habari za muda wakuu, Napenda kujua taratibu za kuagiza simu china na south korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo. Naomba mnipe faida na...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wana JF-Science Forum Nina tatizo na jinsi ya kum-tag mtu katika post au ku-link web au kitu katika post, je vitu hivyo viwili naweza kuvifanya vipi humu kwenye JF?.. Kama kuna uzi ambao...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Kuna tatizo kidogo hapa Kuna dada kasahau pasword ya icloud yake,So hawezi kudownload chochote Je, inawezekana kutoka. Anatumia iphone 6 plus
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jinsi ya kutengeneza virusi hatarishi Tunaishi kwenye ulimwengu wa Teknolojia ambapo wengi wetu tunatumia simu au kompyuta kufanya mambo mbalimbali ulimwenguni. Najua umeshawahi kusikia kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Core i5 4310u Intel HD Graphics 4GB ram ddr3l 250GB HDD Battery 3hrs/above 0763976109
1 Reactions
3 Replies
813 Views
Tafadhalini sana waungwana mimi account yangu imefungiwa na ninapo jaribu ku rest password wananidirect kwenye email isiyo yangu so nifanyaje hapo
0 Reactions
1 Replies
466 Views
Msaada wakuu simu yangu nikituma picha thru WhatsApp zinakua inverted (upside down,rotated )na nikitaka kuweka profile picture on WhatsApp thru gallery nakuta photo ni chache tofauti tofauti na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau habari za muda huu, Nina frequency za radio ambayo inapatikana almost mikoa 3 Sasa, naomba kusaidiwa yafuatayo: 1) Ni namna gani nitaunganisha Radio na YouTube channel ili vipindi viwe...
2 Reactions
1 Replies
503 Views
Hi Guys! Katika kila galaxy kuna super massive Black Hole at the centre. Black Hole sio nyeusi kivilee kama jina linavyotaja. Black Hole ina emitt radiations zinazoitwa Hawking radiation. Sifa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Tatizo la Pc kustuck ghafla na kutoa mlio flan kama jenereta uku picha ikiganda ni mpaka uzime uchomoe waya wa cable itulie kwa dakika 10-30,ndio uwashe na ukiwasha ukiangalia movie kwa dakika 35...
0 Reactions
6 Replies
808 Views
Habari za siku ndugu zangu wa JF natumai mko salama na wazima wa afya kabisa Naombeni ushauri wa juu ya aina ya simu ambayo inaweza kufaa kusogezea siku hasa kwa wadau wa mambo haya ya teknolojia...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom