Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu Habari zenu Masada laptop yangu ina blink taa Za standby bila kukata...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa °Google Maps °Youtube °Gmail °Google search...
10 Reactions
277 Replies
39K Views
Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu habari ya wakati huu.. Samahani kuna hiyo simu imepasuka kioo imetoa mistari mingi Sana baada ya kudondoka chini ila touch inafanya kazi Kama kawaida!!! Nauliza Inaweza kubadilishiwa kioo na...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Kwa sasa ni wazi kuwa kila kampuni ya simu inajitahidi kwenda na wakati kwa kuzindua simu mpya zenye sifa mbalimbali na zinazo endana na wakati. Lakini kama wewe ni kama mimi ni wazi kuwa kuna...
12 Reactions
43 Replies
7K Views
Hello bosses, nimetumia baadhi ya game engines lkn linapokuja swala la kubalance hivi vitu :- 1)Component Reusability, 2)Perfomance, 3)State management bado game engine nyingi sana zinafanya...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina account yangu ya IG ina followers wengi kiasi na niliitumia kipindi cha nyuma wakati u team umepamba moto. Sasa nimekomaa kiakili nataka niitumie kwa biashara. Tatizo sikumbuki password wala...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
Wakuu nimejaribu ku update window 10 kwenye pc yangu bila mafanikio...... saiv siwez hata kuinstall app[emoji27]
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k) Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android. Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado. Je...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nashindwa ku access account yangu ya ig mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
1 Reactions
1 Replies
523 Views
Habari wana jamii humu ndani, naomba ushauri: Kati ya infinix hot 10 vs samsung a11 ipi nichukue? Nipo mkoani, hizo uzote bei ni moja, laki 3 na elfu 70. Pia ikiwezekana ushauri ulenge kwenye...
2 Reactions
23 Replies
49K Views
Habari ya jioni wana jamiii, nimekutana na hizi wires speaker tofauti tofauti na kwa bei tofauti tofauti, lakini kuna hizi Jbl wana speaker zao zinakwenda bei hadi laki saba na nusu mfano ni hiyo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza, kwa aliyewahi install hii software katika PC alitimia njia gani akafanikiwa na ikafunguka vema. Mimi imenitesa sana na nimetumia muda mrefu sana lakini wapi, wana tech...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Namna ya kutambua Kama simu Yako ni feki Unajua unaweza kutambua simu ambayo unapenda kuitumia Kama ni feki au original kabla ujainunua ?? Hii ni moja wapo ya changamoto ya watu wengi Sana...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo nimekumbuka jinsi Selfie Stick ilivyokuwa gumzo mjini. Slay queens na Ma brazamen ilikuwa kila weekend au kwenye event Full kukenua. Now it's gone unaonekana wakuja...
7 Reactions
90 Replies
10K Views
Jamani wanajamvi, je ili niweze kumonetize you tube channel yangu, hiyo channel yenyewe inahitaji iwe na vigezo gani?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwema wakuu! Kuna hili tatizo nalipata kwenye chrome. Huwa kuna muda kuna kitu kina-jidownload lakini niki click kwenye download ili nikistop hakionekani. Niki-Click kama nataka ku-exit chrome...
1 Reactions
7 Replies
989 Views
Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0% Mwanzo inataka nitumie WiFi
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom