Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Pole na majukumu Wana jukwaa. Wale wenye uzoefu juu ya hizi mashine naomba ufafanuzi juu ya namna zinavyotofautiana katika kufanya kazi. Ipi Ni Bora na kwann?. nilishawahi kutumia canon 2520 Ila...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naomba kujua namna ya kutumia SD Card kwenye smart phone mfano nataka record zote ninazochukua ziingie kwenye SD Card.
1 Reactions
4 Replies
731 Views
Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza...
16 Reactions
39 Replies
9K Views
Ni fedha kiasi gani zitatumika kulipia server kwa site kama hii ya Jamii Forum Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa na hizi mambo
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu kwa nyie mnaotumia huduma ya vodacom supakasi baada ya malipo mlikaa siku ngap mkafungiwa huduma sisi tuna wiki mbili tunapigwa Kiswahili tu au ndio mkono mtupu haulambwi. Tuma email...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kama mada tajwa hapo juu naomba kuelekezwa jinsi ya kuzifanya video za facebook zisicheze au kuonyesha bila ruhusa yangu. Hili jambo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine. Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali. Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Haitoshi kusoma specs za simu kwenye gsmarena, naomba kwa wazoefu WA simu, kunijuza zaidi kuhusu hii simu ya Royole Flexpai 2, interns of ubora wake, na changamoto zake kabla sijafanya maamuzi ya...
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Tafuta App inaitwa GLASSWIRE, pakua ndani ya hiyo App utaweza kujua App gani inakula sana MB zako, utaweza kublock App zote za kwenye simu yako zisitumie MB hata kama data iko on, unaweza kuset...
7 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari, Neuralink ni kampuni inayomilikiwa na Elon Musk ambayo ilianza project zake mwaka 2016, na moja ya project yake kubwa ni upandikizaji za 'chip' kwenye ubongo wa binadamu ili kurahisisha...
6 Reactions
83 Replies
8K Views
Kuwa makini na mitandao ya kuwekeza pesa ili upate pesa kuanzia SME , IDEA DEBATERS ziko nyingi hizo ni baadhi hawa jamaa ni matapeli na watu wengi wanaibiwa bila kujijua. Ubaya wake mnaweza...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari? Nauza laini ya safaricom 30k napaatikana kimara mwisho. Hii ni kwaajili ya wanaotaka kufungua paypal
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni Tv flat screen , mwanzo ilkuwa vizuri tuu Ila saivi nikiiwasha kwa kutumia remote control kamanilivyokuwa nafanya mwanzo. Saivi ile rangi ya taa nyekundu ilokuwa inageuka kuwa bluu baada ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana. PWA ni websites...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna njia au namna yeyote ya kupata tin number maana niliwahi kusikia kuna njia ya kudownkoad ila sijajuwa ni kwa namna gani? Msaada kwa mwenye kuelewa
0 Reactions
3 Replies
541 Views
Kama una wire ya macbook 60W magsafe charger kama huu tuongee biashara
0 Reactions
2 Replies
440 Views
Back
Top Bottom