Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana iti mm nilikua naomba kufahamishwa kuhusu. 1: namna application za kuangalia mech live mfano ya baraka tv, inaingizaje pesa kwa mimiliki. 2: namna application za kuuza na kununua...
1 Reactions
4 Replies
695 Views
jamani kwa mtaalamu, nilichange zile security code kutoka zile za nokia za 12345 nkaweka zangu, but nw nimezisahau zangu, so swezi kuchange line plz help nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wakuu kwema, hope wazima kabisa Msaada wenu wakuu, nataka niagize mzigo huko mombasa kwa njia ya mtandao, kwa wale waliowahi kuagiza Tv, fridge n.k nchini Kenya /Mombasa na mzigo akaupokelea...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Juzi kati hapa nilitaka kununua sound bar nzuri jamaa yangu akanishauri ninunue za JBL kua ni nzuri sana. Katika kufanya window shopping hapa Dar nikaenda Mlimani city nikauliza bei nikaambiwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari za majukumu wadau wote wa JF. Naomba mnijuze wapi naweza kupata wataalamu wa ku design logo kwa ajili ya Website. Logo hiyo pia iweze kutumika kwenye page za social networking kama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, adopter ya PC yangu aina ya HP ilikuwa na damage ile sehemu ya mwishoni ya kuingizia power, Nikabadilisha waya, nilipoiconnect tena, ile sehemu ya PC inapoingia adopter ili kupelela charge...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Baada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao...
4 Reactions
72 Replies
61K Views
Hello, Wadau habari za muda huu. Nahitaji Media Convertor naweza pata duka gani hapa Kwa Dar au nje ya Dar? Bei ikoje? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Wakuu wa kitengo kwema? Samahani nina logo kwaajoli ya kampuni ya utalii nichague ipi kati ya hizi? Na pia kama kuna sehemu ya kurekebisha napokea mapendekezo [emoji1666][emoji1666] Natanguliza...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea. Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September. Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Zangu ni 1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na...
11 Reactions
123 Replies
18K Views
Habari wakuu Naomba kujuzwa utofauti uliopo kati kati ya mono na stereo nimekuwa nikikutana nayo Ila nimeshindwa kuyaelewa Natanguliza shukrani
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Kwa Anayefahamu kunanini Leo Kwa Sisi Mablogger Mana Tangu Asubui Views Azipandi....
1 Reactions
6 Replies
561 Views
Habari! Nimekwama ndugu. Nahitaji blacklist app nzuri kwa simu ya Android. Sifa Mtu akipiga simu, aambiwe namba haipatikani au namba inajikata yenyewe (Call ended) Meseji isiweze kunifikia...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau simu Janja Naomba Kuuliza kuusu Uwezo wa Simu aina ya Samsung A30 Je iko poa au Kanjanja
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Salam wakuu! Kwa wale wataalam wa Technology, ninaomba mnielekeze jambo hili. Jana nilituma Document sehemu, ambayo ina ukubwa wa 1.8 mb na ikaonyesha sent. Leo jioni nimepata ujumbe kwenye...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Hello wakuu. Ukweli ni kuwa kwa ulimwengu wa sasa bila kuwa na internet ni sawa na kuishi gizani. Na kuna sisi wengi wetu tunatumia sana internet kwa ajili ya shughuli zetu za kila siku...
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Wajuvi wa teknolojia vipi ubora na uimara wa hizi tv aina ya Star x na Evvoli maana bei naona ni kitonga mno kulingana na bajeti yangu Ni mpya inch 32 Star x led tv = Tsh 330,000 Star x smart tv...
1 Reactions
320 Replies
64K Views
Wadau vipi hii inafa? Kwa internet ina speed?
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Habari wadau Ningependa kufahamu kama router ya airtel huawei b68a-24 inapokea network(internet) kutoka kwenye ethernet na kushare kwa Hotspot? Maana niliconnect ethernet (rj45) kutoka kwenye...
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Back
Top Bottom