sam green Senior Member Joined Feb 21, 2020 Posts 191 Reaction score 297 Sep 7, 2022 #1 Wadau vipi hii inafa? Kwa internet ina speed?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,242 Reaction score 44,327 Sep 7, 2022 #2 Inategemea na Eneo, Tigo wana coverage kubwa ya 4G ila si maeneo yote speed ni kubwa. Tafuta simu ya 4g hapo unapotaka kukiweka, pima speed kwanza kama inafaaa kakinunue. Pia usisahau kutuwekea na model yake humu ukinunua.
Inategemea na Eneo, Tigo wana coverage kubwa ya 4G ila si maeneo yote speed ni kubwa. Tafuta simu ya 4g hapo unapotaka kukiweka, pima speed kwanza kama inafaaa kakinunue. Pia usisahau kutuwekea na model yake humu ukinunua.