Msaada: Blacklist app nzuri kwa Android

Msaada: Blacklist app nzuri kwa Android

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
5,641
Reaction score
9,279
Habari! Nimekwama ndugu. Nahitaji blacklist app nzuri kwa simu ya Android.
Sifa
  • Mtu akipiga simu, aambiwe namba haipatikani au namba inajikata yenyewe (Call ended)
  • Meseji isiweze kunifikia, isilete ujumbe wa derivery report kwake
Shukrani.
 
Hyo app mkuu
Screenshot_20211121-000910.jpg
Screenshot_20211121-000918.jpg
Screenshot_20211121-000934.jpg
Screenshot_20211121-000940.jpg
 
Hzo ni codes mkuu. Ukipigiwa anayepiga anaambiwa hana Salio la kutosha na akirudia anaambiwa amekosea namba.
Nimejaribu kwenye SMS ni kweli sms haziji, ila nime toa lakini bado haziji[emoji47][emoji47]
 
Back
Top Bottom