Vamigo
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 455
- 989
Habari wana iti mm nilikua naomba kufahamishwa kuhusu.
1: namna application za kuangalia mech live mfano ya baraka tv, inaingizaje pesa kwa mimiliki.
2: namna application za kuuza na kununua vitu used zinavyo waingizia pesa wamiliki.
3: wewe Kama mwana IT unaweza mshauru kitu gani mteja wako katika uchaguzi wa application nzuri endapo Kama anataka kuwekeza huko.?
Asanteni.