Msaada kuhusu Email

Msaada kuhusu Email

Baba Vladmir

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2021
Posts
413
Reaction score
724
Salam wakuu!

Kwa wale wataalam wa Technology, ninaomba mnielekeze jambo hili.

Jana nilituma Document sehemu, ambayo ina ukubwa wa 1.8 mb na ikaonyesha sent. Leo jioni nimepata ujumbe kwenye email yangu ambao unaonyesha kutoka email subsystem unaosomeka "Incompete email delivery....message truncated"

Ninaomba kujua yafuatayo:

1. Nini maana ya maneno hayo?

2. Je, document yangu itakuwa imepokelewa au la?

3. Kama haijapokelewa nini cha kufanya?
 
Truncated means shortened by having a part cut off. Sometimes when emails are too long they cut the ends off. This means that the email that got sent back was too long, the mail server send back to you instead of sending all the parts.
 
Bado sijaelewa.Naomba ujibu kulingana na msingi wa maswali niliyoainisha
 
Back
Top Bottom