Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
Wakuu, adopter ya PC yangu aina ya HP ilikuwa na damage ile sehemu ya mwishoni ya kuingizia power,
Nikabadilisha waya, nilipoiconnect tena, ile sehemu ya PC inapoingia adopter ili kupelela charge ikapiga shoti,
Na sasa PC haiwaki.
Kwa wazoefu, naomba mnijuze gharama la kufix ili tatizo ili nisije kufanya makosa.
Ni HP 6530b.
View attachment 2352654