"Helpful Content Update" [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Anayefahamu kunanini Leo Kwa Sisi Mablogger Mana Tangu Asubui Views Azipandi....
Soma hapa mkuu. Sahizi site nyingi traffic ipo chini kwa kuwa zimeathiriwa na hii update ya GoogleSijakuelewa mkuu
Ukiwa na quality content huna haja ya kuhofia updates za google.Soma hapa mkuu. Sahizi site nyingi traffic ipo chini kwa kuwa zimeathiriwa na hii update ya Google View attachment 2349503
Yeah manUkiwa na quality content huna haja ya kuhofia updates za google.