Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
357
250
Wajuvi wa teknolojia vipi ubora na uimara wa hizi tv aina ya Star x na Evvoli maana bei naona ni kitonga mno kulingana na bajeti yangu

Ni mpya inch 32

Star x led tv = Tsh 330,000
Star x smart tv = Tsh 370,000
Evvoli led tv = Tsh 350,000
Evvoli smart tv = Tsh 380,000
 
monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
357
250
Star x ni tv ngumu kwa body zake ila ubovu wao upo kwenye quality ya picha,kama ni mtu unayependa picha nzuri syo chaguo sahihi ila kama ni mtu wa vitu vigumu kuharibika hapo umefika
Ahsante mkuu, Je tv za kampuni gani za kichina ni bora kwa picha?
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,565
2,000
Star x ni tv ngumu kwa body zake ila ubovu wao upo kwenye quality ya picha,kama ni mtu unayependa picha nzuri syo chaguo sahihi ila kama ni mtu wa vitu vigumu kuharibika hapo umefika
Angalia na kin'gamuzi unachotumia mkuu,isijekuwa unatumia vin'gamuzi vyenye HD low quality ukasingizia shida ni TV,jaribu kutumia DSTV kwenye Star X halafu ulete mrejesho...
 
zacha

JF-Expert Member
Feb 28, 2009
1,043
2,000
Star x ni tv ngumu kwa body zake ila ubovu wao upo kwenye quality ya picha,kama ni mtu unayependa picha nzuri syo chaguo sahihi ila kama ni mtu wa vitu vigumu kuharibika hapo umefika
Hii brand ya star x msiichukulie poa, south africa huwambii kitu juu ya hii brand

Ubora wa picha ziko safi sana, ukinunua star x jitahidi upate ile yenye mark ya masadubai.

shukrani
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,969
2,000
Kujua ubora wa picha ni utaalamu. wabongo wao kila tv ni nzuri ilimradi tu eti kaiweka kwenye dstv.

Kuangalia picha na kujua ubora ni aghalabu uwe mtaalamu au upewe TV zaidi ya moja kwa wakati mmoja ukar uziangalie.

Kwa mfano kaa na tecno yako, utaisifia kioo sana na picha zake. Lakini tafta hata samsung s4 tu, a10, j4 weka video sawa na simu yoyote ya tecno, ukianza na hizi spark, paviour ndio utajua utofauti wa rangi, picha na ubora
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,969
2,000
Nunua hisense kama suala ni bei. Model ile ya 6100 au 5100. Kama sio bei angalia TCL S 6800 imetoka na android
Wajuvi wa teknolojia vipi ubora na uimara wa hizi tv aina ya Star x na Evvoli maana bei naona ni kitonga mno kulingana na bajeti yangu

Ni mpya inch 32

Star x led tv = Tsh 330,000
Star x smart tv = Tsh 370,000
Evvoli led tv = Tsh 350,000
Evvoli smart tv = Tsh 380,000
 
monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
357
250
Hii brand ya star x msiichukulie poa, south africa huwambii kitu juu ya hii brand

Ubora wa picha ziko safi sana, ukinunua star x jitahidi upate ile yenye mark ya masadubai.

shukrani
Fafanua vizuri mkuu ndo model gani hiyo?
 
kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
6,708
2,000
Kujua ubora wa picha ni utaalamu. wabongo wao kila tv ni nzuri ilimradi tu eti kaiweka kwenye dstv.

Kuangalia picha na kujua ubora ni aghalabu uwe mtaalamu au upewe TV zaidi ya moja kwa wakati mmoja ukar uziangalie.

Kwa mfano kaa na tecno yako, utaisifia kioo sana na picha zake. Lakini tafta hata samsung s4 tu, a10, j4 weka video sawa na simu yoyote ya tecno, ukianza na hizi spark, paviour ndio utajua utofauti wa rangi, picha na ubora
Umenena mkuu..sasa kwa wanaojua picha ,starx picha kali kaanza kua nayo lini? Watu hata view angle hawajui...hizi star x ni kituko kama tecno tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom