Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

umekuwa ukipata rundo la emails usizozitakaka kwenye gmail yako? hiii huwa inachukiza sana unapopokea emails ambazo hazihusiani na mambo yako kabisa leo nitakufundisha namna rahisi sana ya...
1 Reactions
1 Replies
582 Views
To know where we come from is not difficult thing or it is not imposible and we don't need to believe or having any theory. We dont need to be told where we come from only we need the way through...
1 Reactions
0 Replies
475 Views
Hawa mabwana waliwaza nini kuachia flagship kali kama hii bila kuweka protection kwenye display mfano protection ya gorilla glass na hata ile ya IP water resistant haina au ni GSM arena ndio...
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu! Email yangu imekuwa haifunguki inaishia kuload tu sijajua shida nin na naimaliza vipi. Msaada
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Naombeni msaada mtu anieleze jinsi ya kufanya bishara ya kuuza ps4 na ps5 digital games bila kujailbreak
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku hizi kuna hizi simu za mitumba wenyewewe wanakwambia used from Korea Dubai etc sometimes unaenda dukan unakuta IPO full boxed lakini ni refurbished Sasa wajuzi tupeni mautalaam namna ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza kabisa naomba nitahadhalishe kuwa mimi sio expert wa hii kitu ila nahakika walau mtapata mawili au matatu lakini pia naamini wataalam zaidi watakuja kufafanua na pengine kujibu maswali. Ni...
20 Reactions
240 Replies
97K Views
Habarini Ndugu wana jf, mimi nina solar watt 100 betri N70 dry cell ambazo nazitumia kwenye tv na kuwasha taa kama 5 tu tatizo linalofanya nijekuomba ushauri kwenu ni kwamba nyakati za usiku...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hi! JF members Naombeni msaada kwa wenye uelewa wa solar panel nzuri yenye uwezo wa kuwasha tv inchi 32 Naomba nisaidiwe brand nzuri na ni watt ngapi? Betri N ngapi na hiyo tv inchi 32 pamoja...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wandugu nawasalimu sana na poleni na pilika za hapa na pale. Nilinunua Inverter ya wati 3000 used ya Taiwan miaka miwili iliyopita na sasa ninahamia maeneo yasiyo na umeme wa grid hapa Dodoma...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Msaada Wanablogger Wenzangu kwa Anayefahamu Jinsi ya kuseti Matangazo ya Adsense Katikati Ya Post
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Wadau Wa Blogger...Tufunguke Tumwagike hapa..Kati ya Adsense na Adsterra wapi kuzuri kwenye Kuvuna Mkwanja.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Question Question
Naombeni msaada jinsi ya kuondoa logo kwenye video, nilijaribu kutumia logo remover lkn bado sielewi vizuri. Msaada kwa wataalamu jamani
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Sijajua kama ni kwangu tu au ni vp, Nimezoea spidi ya 1MB kwa sekunde ila hapa kwa sasa jana na leo spidi ya kudownload imeshuka kwenda 60KB kwa sekunde, Nimezima updates. Bando linalotumika ni...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini? Jamani nimepoteza charger ya Xiaome redme note ten pro(fast charger) Kwa yeyote aliyenayo naomba anicheck, nahitaji Kwa haraka, maana charger za kawaida zinasumbua.
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Habarini. nawezaje ku connect web application na mysql database ili user anapo input taarifa zake mfano za registration ziende moja kwa moja mpaka kwenye database. hapa tayari nimecreate web app...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Oya wakuu naomba msaada site gani naweza pata html tutorial kali, pia tutorial za CSS ambazo sitajuta kuzitumia
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari. Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer...
5 Reactions
107 Replies
32K Views
Back
Top Bottom