Kati ya logo hizi ni ipi bora?

Kati ya logo hizi ni ipi bora?

isaiah9

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
71
Reaction score
67
Wakuu wa kitengo kwema? Samahani nina logo kwaajoli ya kampuni ya utalii nichague ipi kati ya hizi? Na pia kama kuna sehemu ya kurekebisha napokea mapendekezo [emoji1666][emoji1666]

Natanguliza shukrani
Screenshot_2022-08-26-19-10-07-634_com.miui.gallery.jpg
Screenshot_2022-08-26-19-09-56-475_com.miui.gallery.jpg
 
Kama unataka na simba basi mueke kwenye hiyo ya kwanza pembeni ya huyu mtu, Kama itawezekana ongeza na ubunifu kidogo
 
Wakuu wa kitengo kwema? Samahani nina logo kwaajoli ya kampuni ya utalii nichague ipi kati ya hizi? Na pia kama kuna sehemu ya kurekebisha napokea mapendekezo [emoji1666][emoji1666]

Natanguliza shukraniView attachment 2338809View attachment 2338810
Mbali na ubora unaoutafuta pia font si nzuri kwa aina hiyo ya ligi.

Adjust color sio zote ziwe hivyo ongeza green.
 
Zote zipo complicated, toa hilo jua, halafu badili font, hizo font ni za vitu serious kama Law au kampuni za ujenzi. Utalii watu wanaenda ku-enjoy.
 
Tumia logo ya pili, Simba na huyo Moran waingize kwenye maandishi kwa sanaa. Mfano, E ya mwanzo iwe na shape ya Simba na hiyo I katikati iwe ndio huyo mwamba mwenye mishale. Chengesha Font na ongeza green. Jua achana nalo
 
Mtaalam wangu anaitwa Kanju +255 746 719 684

Kama web designer hapo logo angalau ni no 1 , siku hizi logo hatuweki mavitu mengi, pia logo yenye height kubwa sio nzuri sana hasa kwenye website au letter head . Haya njoo ni tu design Website ya heshima kabisa angalia kazi zangu hapa kwenye link portfolio hapa www.index.co.tz au piga 0715812160
 
Kwenye art, simplicity ndiyo msingi wa kwanza kabisa. Logo inatakiwa kuwa simple lakini ibebe dhana ya kinachofanyika ingawa si muhimu sana.
Tuwasiliane nikupatie designer mwenye uzoefu wa miaka mingi afanye kazi yenye ubora unaostahili.

Back
Top Bottom