i-store
Member
- Mar 10, 2020
- 54
- 63
Hello wakuu.
Ukweli ni kuwa kwa ulimwengu wa sasa bila kuwa na internet ni sawa na kuishi gizani. Na kuna sisi wengi wetu tunatumia sana internet kwa ajili ya shughuli zetu za kila siku.
Changamoto ni bei. Yaani nanunua GB 5.7 kwa 10,000 kwa wiki ila ajabu ni siku moja limekata. Na hata siangalie video online au kudownload muvi.
Sasa kwa mwendo huu nitalipa 300,000 kwa mwezi. Tupeane mbinu mnarukaje kiunzi hapa.
Nafikiria kujiunga supa kasi ya VODA ile postpaid. Swali langu, je zile GB zikiisha nitaweza kudowload simple pdf file au matumizi madogo madogo mtandaoni?