Tengeneza tzs 50,000 kila siku

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Baada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao wanajua ninapiga mpunga safi tu adsense, affiliate, tee spring, nk. Well nachoweza kusema i love my profession ya kuwa muhasibu hata kama ninaingiza pesa online lakini haimaanishi profession nliosomea ndo nmeipiga ngwala...Let me cut the bullshit niingie straight kwenye pindi mana najua mtaani hakueleweki.

Prviously nmeshatoa nondo kibao tu hapa kuhusu kupiga pesa online but kuna njia ambazo ilibidi uwe mtaalam wa pc ama mzoefu so kuna wengi niwaacha thats wht naleta njia nyepesi kabisa ya kulaza walau 50,000 daily japo watakulipa baada ya mwezi ama kwa bahati ndani ya wiki.

Njia yenyewe ni kumfanya mtu wa us, canada, uk, n.k ajiunge na mtandao wa ku date. Pesa nje nje kulaleki mtu moja akijiunga kuitia link yako special utayompa waweza lamba 20,000 kwa kichwa.

1.Tafuta dating offers zinazolipa fresh then jiunge, www.offervault.com
2.Hakikisha offer unayochukua iwe rahisi ku sign up kwa watu utaowafanya wa sign up ili ulipwe. Ingia advanced search weka category iwe dating , nchi iwe marekani, tafuta offer zina zorange 5$ hadi 10 hivi kwenye matokeo hangaika na zile za "lead"
3.Tengeneza landing page nzuri inayoendana na offer (zama youtube ule pindi)

JINSI YA KUWAKAMATA HAWA WAZUNGU (TRAFFIC)
Asikudanganye mtu kupata free traffic iwe blog, youtube ama shughui yoyote online ni shughuli pevu mana inabidi umshike akili mtu afanye kile unachotaka ili upate tonge. Well kwa sababu nataka tuendelee sote ntawapa kanjia kazuri tu.

1. Itabidi kwanza upate namba ya nchi ambayo unataka uwafanye watu wa sign up mtandao wa dating, Kwa buku 5 tu waweza kupata namba ya us, uk, austraia, belgium,canada,n.k download app ya dingtone then nunua namba.
2 Download whatsapp weka profile picture ya mtoto mkali ikipendeza zaidi awe mungu...ingia insta wapo wengi ila usimweke ihanna;).
3. Ingia Twoo.com (ni mtadao kama badoo) then jiunge.
4.Location weka sehemu ambayo offer yako inalenga
5.haya sasa anza kulike vidume vione kweli mtoto mkali wa kwenye oicha kawazimia
twowoo.JPG

6.wakija inbobo pga nao stori kidogo then wape namba yako ile ya WhatsApp kwa sababu huo mtandao wa twoo.com wakiona unawashawishi watu wajiunge kwengune utafngiwa.
7. Wakija whatsapp watumie linki ya landing page waambie wakihitaji kuchat sana na wewe wajiunge mtandao wa offer uliyopewa ama wape saundi wakitaka kuona pcha zako kali zaidi wajiunge mtandao wa kudate kuitia link yako.
8 waki sign u umeula mwanangu
click.JPG
 
Kwahiyo mkuu hapa kwa namna flani unatufundisha kuwa matapeli au veeeepe,nijifanye mdada kumbe nina mindevu na dushe,dah shikamoo noti haki ya nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha welcome kwenye ulimwengu wa internet marketing, hata huko badoo ndio maana siingiagi mana najua nikiambiwa ntume hela ya saloon au usafiri nishapigwa kijanja
 
bora kujifoji watu washatengeneza video za msiba wa ommy dimpoz ili walipwe na youtube
Duh watu hawafai mkuu km wanatengeneza hadi video mtu akiwa bado hai.

Mkuu hebu nifundishe hv mpaka ulipwe na you tube inakuwaje?halafu unawezaje kutengeneza au kuchukua video kwa kutumia cm ikawa na ukubwa wa kawaida?maana mi nikichukua video kwa cm unakuta linakuwa na mb lundo mpaka kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao wanajua ninapiga mpunga safi tu adsense, affiliate, tee spring, nk. Well nachoweza kusema i love my profession ya kuwa muhasibu hata kama ninaingiza pesa online lakini haimaanishi profession nliosomea ndo nmeipiga ngwala...Let me cut the bullshit niingie straight kwenye pindi mana najua mtaani hakueleweki.

Prviously nmeshatoa nondo kibao tu hapa kuhusu kupiga pesa online but kuna njia ambazo ilibidi uwe mtaalam wa pc ama mzoefu so kuna wengi niwaacha thats wht naleta njia nyepesi kabisa ya kulaza walau 50,000 daily japo watakulipa baada ya mwezi ama kwa bahati ndani ya wiki.

Njia yenyewe ni kumfanya mtu wa us, canada, uk, n.k ajiunge na mtandao wa ku date. Pesa nje nje kulaleki mtu moja akijiunga kuitia link yako special utayompa waweza lamba 20,000 kwa kichwa.

1.Tafuta dating offers zinazolipa fresh then jiunge, www.offervault.com
2.Hakikisha offer unayochukua iwe rahisi ku sign up kwa watu utaowafanya wa sign up ili ulipwe. Ingia advanced search weka category iwe dating , nchi iwe marekani, tafuta offer zina zorange 5$ hadi 10 hivi kwenye matokeo hangaika na zile za "lead"
3.Tengeneza landing page nzuri inayoendana na offer (zama youtube ule pindi)

JINSI YA KUWAKAMATA HAWA WAZUNGU (TRAFFIC)
Asikudanganye mtu kupata free traffic iwe blog, youtube ama shughui yoyote online ni shughuli pevu mana inabidi umshike akili mtu afanye kile unachotaka ili upate tonge. Well kwa sababu nataka tuendelee sote ntawapa kanjia kazuri tu.

1. Itabidi kwanza upate namba ya nchi ambayo unataka uwafanye watu wa sign up mtandao wa dating, Kwa buku 5 tu waweza kupata namba ya us, uk, austraia, belgium,canada,n.k download app ya dingtone then nunua namba.
2 Download whatsapp weka profile picture ya mtoto mkali ikipendeza zaidi awe mungu...ingia insta wapo wengi ila usimweke ihanna;).
3. Ingia Twoo.com (ni mtadao kama badoo) then jiunge.
4.Location weka sehemu ambayo offer yako inalenga
5.haya sasa anza kulike vidume vione kweli mtoto mkali wa kwenye oicha kawazimia
View attachment 846987
6.wakija inbobo pga nao stori kidogo then watumie linki ya landing page waambie wakihitaji kuchat sana na wewe wajiunge mtandao wa offer uliyopewa ama wape saundi wakitaka kuona pcha zako kali zaidi wajiunge mtandao wa kudate kuitia link yako.
7 waki sign u umeula mwanangu
View attachment 846985

How can they detect if i'm using VPN and sign up on the link my self?
 
Hiyo ni dalili ya uvivu, vijana tafuteni shughuli za kufanya,mf. Badala ya kupoteza muda town, rudi kijjn tafuta bonde lima busta baada ya mwaka uliyemwacha mjini hatokuzoea atakuita mzee boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni dalili ya uvivu, vijana tafuteni shughuli za kufanya,mf. Badala ya kupoteza muda town, rudi kijjn tafuta bonde lima busta baada ya mwaka uliyemwacha mjini hatokuzoea atakuita mzee boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimo huwa mnakifikiria kwa fikra nyepesi sana, kwamba ni "mteremko" vijana kwa viji-theory vya kipuuzi puuzi vya wale wanaojiita motivational speakers ambao actually na wao huko kijijini kumewashinda wanazunguka mji baada ya mji kukusanya vijisenti vya wapumbavu kwenye seminar za "mafanikio", my foot. FURSA ni pale akili yako inapoweza kufika kwa kutegemea mazingira yaliyopo tusiishi kwa kukariri kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mzunguko wote na utapeli ndio njia rahisi ya kulaza 50k kwa siku?

Ethics na maadili ya CPA (T) yanasemaje kuhusu hili jambo?
 
Back
Top Bottom