Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,870
- 2,176
Wakuu kwema, hope wazima kabisa
Msaada wenu wakuu, nataka niagize mzigo huko mombasa kwa njia ya mtandao, kwa wale waliowahi kuagiza Tv, fridge n.k nchini Kenya /Mombasa na mzigo akaupokelea kwenye BUS ama DHL katika mkoa wake.
Je, mzigo huo ulimfikia salama, na hakuna tatizo lolote lililojitokeza? Kwa wale ambao labda waliingizwa chaka na mali zao kupotea!
Naomba mnisaidie kwa hilo wakuu, nitashukuru sana.