Mwenye ufahamu na hii simu Samsumg A30

Mwenye ufahamu na hii simu Samsumg A30

Mr_Plan

Senior Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
140
Reaction score
194
Wadau simu Janja Naomba Kuuliza kuusu Uwezo wa Simu aina ya Samsung A30 Je iko poa au Kanjanja
 
Hii simu ni ya kawaida tu, kamera yake iko poa. Kwa bei yake kuna option nyingine nzuri zaidi ya hii.

Kuna jamaa yangu anaitumia hii, analalamika kuwa chaji ni ishu, inaisha haraka licha ya kuwa na 4000mAh. Halafu kingine simu hiyo inatumia Android 9. Mi sikushauri ukanunue kama una mpango huo.

Tafuta simu zenye Android 11 au 12 mkuu kama Redmi 10
View attachment 2341962
RAM 3/4 GB
ROM 32/64GB
Battery 4000mAh, Rear Camera 16MP, Android 9 hizo ni sifa chache za hiyo A30

Screenshot_20220901-133619.jpg
 
mkuu chukua mchama huyu redme 10c bei yake unapata hata kwa 360k kuendelea au redme note 11 utaenjoy sana au kama ugonjwa wako ni brand ya Samsung chukua hii A13 au 12
Screenshot_20220907-151510.jpg
Screenshot_20220907-142319.jpg
 
Back
Top Bottom