Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani naomba mnisaidie namana ya configure outlook ili iwe na uwezo wa kupakua e-mails zangu na niwe nasoma hapo. AU niseme naomba kufundishwa NAMNA ya kutumia outlook
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wote wa jf hususan kitengo hichi cha sayansi na tekn.mimi nahitaji kutengeneza virus asie kuwa na madhara.najua humu ndani mpo wakali wa mambo haya. Mnielekeze hatua kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu!!:A S 27: Kupitia JF Naomba mwenye kuniwezesha Kupata Link ya free download Software ya Business-in-a-Box Pro. Ni matumaini yangu kuwa ntapata support kwa wanaJF. Asante sana!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu ninahitaji msaada wa program or software ambayo na weza kulink na watu pande zote za dunia niweze kufanya nao kazi kwamba anahitaji kuflash au kunlock alink na site yangu na mm...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
To IT pros and beginners, try this download manager Best Download Manager - FlashGet Download FlashGet 3.7.0.1156 - FileHippo.com But take care guys, there is no free lunch
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bandugu, Hamjambo, naombeni msaada wenu, kwa mtu anayejua namna ya kupa ta hii software ya adobe photoshop element 4.0 ama version ya juu yake, nimepoteza cd ya camera yangu, so the only way...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nasimu ya vodafone 135 nataka kuifrash wakuu nisaidieni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hello guys. wana jf kwa wale ambao wako intrested in knowing maujanja in IT regarding different programming language,wanaweza kuja hapa wakaona kwa vitendo kabisa since maelekezo yake yako kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuelimishwa namna ya kutengeneza website ndogo kwa ajili ya NGO ya michezo. Nitataka ushauri wa kuitengeneza mimi mwenyewe tafadhali
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wandugu wa JF, mimi ni miongoni wa mapenzi wa movies. Sasa ninamtindo kila nikimaliza kuangalia movie huwa naenda kwenye websites (e.g rotten tomatoes) kutoa reviews zangu au hata tu...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Baada ya kupitia kurasa za zamani ktk sub-forum hii nikaona kuwa kuna mambo mengi mazuri yalishasemwa na wadau mbalimbali toka mwaka 2006 ilipoanzishwa jf, wakati huo jf ikiwa kweli ni mahali pa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nimenunua hii modem ya huawei e1550 ya Zain/airtel na nimeweka line ya airtel. Lakini kila nikijaribu ku connect inaniambia "The SIM/USIM card not been detected or invalid" wakati inaniambia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada! nilicompress File zangu kwa kutumia RaR nikaweka password kwa ajili ya unziping bahati mbaya nimesahau password gani nilitumia. kuna program yoyote au njia gani naweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani naomba msaada wa jinsi ya kujitoa/kuifunga au ku deactivate akaunti yangu ya twitter.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
wataaalam mlioboea kwenye mambo ya web ninahitaji ushauri na elimu ya kitaalam Nina knowledge kiasi tu sasa nilikuwa najikumbusha mambo ili nisisahu vitu kwenye web engereening. Nataka...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wanajamvi Kabla sijasema memngi naomba tembelea Home page ya TBC Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) TBC Taifa wao page yao hii hapa TBC TAIFA Alafu tembelea Home website ya KBC...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Nadhani nianze kwa kusema: Kuwa na kompyuta ni kitu kimoja lakini kuwa na uhakika kuwa ulichoweka kwenye kompyuta hiyo ni salama na hakuna anayeweza kukitoa wala kukiona bila idhini yako ni kitu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Virus is a little program that its activity can destruct/destroy some files and a computer system. If you don't open this program, it still inactive and could not destroy anything. The virus...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya siku mingi wana JF ? nimepotea kwa mda kidogo kutokana na majukumu... Wakuu jana usiku nilikuwa officen napiga job, akaja mafanyakazi mwenzangu akaomba afungue flash yake kwenye...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Nina simu aina ya sony ericsson w595 inatumia files zenye jar format. Tatizo kubwa linalonikabili ni kwamba kila nikitumia opera mini (4 au 5) inafikia kipindi hiyo opera inagoma kufanya kazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…