Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salaam wana JF. Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea. Mwenye kujua vema tafadhali naomba anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Video ya makala hii inapatikana HAPA Siku za karibuni,tuliongelea umuhimu na ukuaji wa vifaa au programu zinazoweza kufanya kazi za vifaa kamili(simulators),mfano mmojawapo ni kwa wale watu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, habari Kuna anti-virus inaitwa Quick Heal nimeipenda sana. nilidowload ile ya majaribio sasa nataka ninunue. nisaideni jinsi ya kuipata. nataka kwa ajili ya matumizi binafsi siyo ya ofisi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hi
WADAU NAOMBA MSAADA WA JINSI YA KU'CRACK SERIAL NUMBER ZA SOFTWARE SOFTWARE YANGU YA SpeedUpMyPC IMENUSMBUA MUDA MREFU JINSI YA KUPATA HIZO SERIAL NUMBER.
0 Reactions
2 Replies
968 Views
The day part of the Internet died: Egypt goes dark Egypt unplugs from Internet as protests loom; 'unprecedented in Internet history' Jordan Robertson, AP Technology Writer, On Friday January...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kama wewe ni mtumiaji wa ipod touch,au iphone unaweza ukashangazwa na jinsi device hzo zilivo limited kwa baadh ya feature kama customization,downloading files from internet,na hata jinsi kila...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya kutumia flash disk yangu kuhamisha files toka kwenye komputa ya mshikaji wangu, file zote zinaonekana kama shortcut na hazifunguki, pia baadhi ya file kwenye komputa yangu zimepotea! Kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi nina wazo. ambalo kama tukikubalina na kupata idadi tutakayokubaliana tunaweza kujaribu kufanya kitu fulani simple practically huku tuijifunze, kuelimishana na kufanya vitu kwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada wenu kugundua nini kimekosekana kwenye hii program yangu, najaribu kuicompile kutumia gcc filename -o filename but lakini naona inakubali lakini hainipi result ninazo taka...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Msaada kwenye tuta wana JF. Natafuta fundi mzuri wa laptop ambaye anaweza kunisaidia kurekebisha laptop yangu yenye tatizo la kutokutambua (recognize) betrii wakati ikiwa kwenye umeme. Bila umeme...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba wadau tujadili issue hii Hivi katika kurusha na utumaji wa picha za video vituo kama Aljazeera ,CNN nk wanatumia Tecknolojia ipi hasa katika kutuma picha hali inayotushnda sisi wabongo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jaman hiz teknojia ni kiboko...tujulishane meng zaidi kuhusiana na teknojia hizi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani Kama kuna mtu anauza laptop hp 530 used chini ya laki tano Naitaji Faster
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kwa wanaofahamu utaratibu wa kupata hii account na kama mtu anaweza share account yake. na je gharama zake zikoje?.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi Kwenye elimu tulizosoma za IT tulifundishwa kuwa kuna aina at least tatu za Mifumo ya computer. Transaction Process System Management Information Sysstem Desion SUppport system...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanaotumia jf mobile naombeni mnifahamishe plz,je nanyi hampati mobile view? Hii problem imeanza around saa moja jioni. Thx wakuu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nimeanza kupenda programming ila nimeshindwa kujua mtiririko gan unafaa.nina ufaham mdogo wa C.nifanyeje?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kila nikufungua hapa nakutana na lugha nisizojua kabisa mara soft nini mara nini ,jamani mnatutesa hivi hii store ni ya masuala yenu ya IT tu itabidi nianze kujifunza ,hongerereni sana wataalamu...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Msaada natumia desktop win xp external hardisk tajwa hapo juu haisomi (unreadable) nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Motorbikes could soon be sporting collision detection and other safety features more usually found on cars. Research is testing ways to put these systems on motor bikes and how best to alert...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Back
Top Bottom